SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Toka Febr 24,2022 mpaka leo June 19,2025 Miaka 3 mizima wakati Russia ni Supapawa kwa nini alishindwa kuichota yote kwa Masaa 72 aliyoyasema ???
Wale wanapigwa kama mtu anayechanja chale damu inavuja kidogokidogo baadae aggregate mtu anakata moto. Wale ni NDUGU na Russia sio mnyama sana kama Myahudi. Kiev ingepigwa kama soleder na Wagner pmc kazi ingeisha mapema. Hapo huruma na udugu umesababisha NATO wamchezee sharubu na akiendelea na hii approach anaweza hata yeye kuuliwa. Maana Sasa hivi NATO na Ukraine wanatumia mbinu za kigaidi kujibu mapigo.
 
Najua kuna madai ya Israel ya kwamba Iran inafadhili makundi ya magaidi. Amboayo wanayataja kama Hammas, Hizibollah, na Houthi. Ila mzozo uliopo sasa una sura tofauti kidogo. Israel na Marekani ndio wanalalamika kwamba Iran inarutubisha Uranium kwa ajili ya kutengeneza silaha za nuclear. Iran imejitetea mara millions times kwamba shughuli zake za nuclear ni kwa ajili ya matumizi ya nishati. Zaidi ya miaka 30 haya malalamiko yapo. Na mpaka leo iran haijafanikiwa kuwa na bomu la nyuklia.
Yaleyale ya Saddam huseni. Walimtuhumu kumiliki silaha za maangamizi lakini siku ya mwisho silaha hazikuonekana.
Nikuulize wewe. Kazi ya UN ni nini?
 
Netanyahu.
Tumepata hasara kubwa na yenye maumivu makali. Tubatawala anga lote la IRA
 
Sidhani kama ilikuwa direct hit, kuna kitu inaonekana kimepigwa karibu hapo, mtikisiko ndio imeletwa madhara kwenye hilo jengo la hospitali..
Na HIKI ndio inaonekana kimefanyika ndio maana hospitali inaonekana imevunjika vioo na tiles na makabati kama matokeo ya KITU kizito kilichodondoka pembeni. Labda Israel wanatumia mbinu za kipalestina za kujificha karibu na Hospital na Shule au misikiti.
 
Israel imelipua Makao Makuu ya Polisi huko Tehran. Tuzidi kuwaombea kwenye swala zetu. Ikibidi Ijumaa baada ya Swala tufanye PRESS CONFERENCE au Maandamano kulaani vitendo hivyo.
 
Na HIKI ndio inaonekana kimefanyika ndio maana hospitali inaonekana imevinyika vip tiles na makabati kama matokeo ya KITU kizito kilichodondoka pembeni. Labda Israel wanatumia mbinu za kipalestina za kujificha karibu na Hospital na Shule au misikiti.

hii inaonyesha hizo ballistic za Iran zinapenya kwenye hizo modern ADS na kuna mengi inaonekana yanafichwa.

Hii video na picha zimeachiwa na zitasambazwa kuonyesha Iran anapiga hospitali japo linaivua nguo Israeli dhidi ya ADS zao na kutufumbua macho inawezekana kuna maeneo mengi yamepigwa ila wanalimit leakage of information.
 
FREEDOM in IRAN is now a reality, pisi za Iran zimetupa hijab, ni full vi-minskirt

View: https://youtu.be/HrYNe40bJlE?t=4
 
Mezani ya mazungumzo kama alivyosema trump Iran ajisalimishe bila masharti la sivyo itakula upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…