matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Nikisema wewe huna unalojua unaanza kubisha.Hawana cha kufanya kwanza nchi kama uae, quatar na nyingine zilizoendelea haziwezi hatarisha miundombinu ambayo wamejenga kwa miaka mingi kisa ujinga wa Iran, tena zinaweza toa msaada kupambana na Utawala wa Iran hutaamin
Muhuni leo anadediNetanyahu kasema anataka kumpeleka peponi Ayatollah Khomeini siku si nyingi.
Mnajisahau kuwa hata drone za shahed zinaruka kutoka Iran kwenda Israel.Mkuu hauwezi kuzuia surface to surface missile labda uharibu launcher zote zilizopo aridhini
Kilichotokea Gaza ni kwamba Israel ilihakikisha inaharibu launcher kuondoa uwezo wa kurusha hizo roketi...... na hichi ndio kitu Israel inajaribu kufanya pale Iran
Inaposemwa anga la Iran kivita limetawaliwa na Israel ina maanisha kwamba kwa kiasi kikubwa mifumo ya kiulinzi ya Iran imeharibiwa na kufanya Israel kulitumia anga itakavyo tena kwa kutumia ndege
Missile za Iran zitaendelea kurushwa as long as missile launcher zikiwepo.....
OhooooJeshi la Iran:
Israel waondoe watu haraka kwenye kituo cha kinyuklia Dimona maana wana jambo lao hapo muda wowote.
Wakati huohuo Bado US anasita hana uhakika kama B2 bomber hata KWA kutumia Satan 2 missile wanaweza kuharibu mitambo ya nuclear ya Iran chini ya Ardhi.
Russia anasema chini ya ardhi kuho Kuna wanasayansi wake wa Nyuklia na haiwatoi.
Ni hayo tu
Mkuu samahani raia wanakimbia nchi kivipi? Unasema Malaki ya raia wanahama nchi??Mkuu ubishe usibishe Israel ipo taabani.
Kitendo hadi cha raia kuanza kukimbia nchi hiyo inaonesha Israel iko taabani.
Vita ya Hamas Israel walikua bado wako imara ndio maana raia walioamua kuondoka ni wachache.
Ila vita hii ya Iran hakuna sehemu salama Israel kiasi malaki ya raia wanahama nchi.
Tubishe tusibishe Israel iko taabani.
Drone zinatumwa na pia zinakua intercepted, drone ni rahisi kutunguliwa ndio maana hazifiki hata mbali zikiwa tu mipakani zinatunguliwa. Labda zirushwe wakowa ndani ya hiyo nchiMnajisahau kuwa hata drone za shahed zinaruka kutoka Iran kwenda Israel.
Unataka kunambia drone pia sio rahisi kuzuiliwa?
Sijui mtadanganya kwa lipi.
Mda utaongeaHuu mgogoro hauishi salama. Sure, Israel watafanikisha azma yao, watalipua na kuangamiza viwanda vya kutengeneza silaha za nuklia. Waneweza kuumua hadi ayatollah, hilo liko ndani ya uwezo wao. Iran imeonekana kuwa highly disorganized hata kuliko vikundi vya kigaidi ambavyo Israel amepigana navyo siku za hivi karibuni.
Lakin sasa, what hapoens next ndo mtihani mkubwa. Iran ni taifa kubwa lenye raia takribani milioni 100. Kukosa uongozi kwa jamii yake inayotofautiana itikadi za kidini na tamaduni ni mtihani sana. Shida wameishi under control ya regime ya hawa ayatollahs kwa miaka kibao, they don't know amani ni nine and how to practice one. Uhuru utaibua magaidi na wale wanaotaka amani wataibuka kutetea mwelekeo sahihi. Kufikia makubaliano ni ngumu sana. Angalia kilichotokea Libya. Hadi Leo ni taharuki tupu ingawa wana Imani moja ya kidini, sembuse Irani yenye mchanganyiko wa kila jamii!
Makubazi hawataki kuambiwa huu ukweliMuhuni leo anadedi
Uliliona tangazo la waziri wa usafirishaji wa Israel?Mkuu samahani raia wanakimbia nchi kivipi? Unasema Malaki ya raia wanahama nchi??
Hizi ndio hisia. Hata mtu akisema maelfu ya Wana Iran wanahama nchi nae atakua kaweka tu hisia.
Kuhama nchi hufanywa na wenye uwezo mkubwa tu na pia endapo nchi imevamiwa.
Tatizo mnachagua kusema like ambacho mnakitamani, hili tatizo litawasumbua sababu litakua halifikii matarajio yako ya ukweli.
Iran wanahama mji sio nchi, ni kweli Israel raia wanakimbia wengine wanapanda boat kwenda Cyprusus, nauli mwanzoni kwa boat ilikuwa $20 hivi sasa ni $5000..Mkuu samahani raia wanakimbia nchi kivipi? Unasema Malaki ya raia wanahama nchi??
Hizi ndio hisia. Hata mtu akisema maelfu ya Wana Iran wanahama nchi nae atakua kaweka tu hisia.
Kuhama nchi hufanywa na wenye uwezo mkubwa tu na pia endapo nchi imevamiwa.
Tatizo mnachagua kusema like ambacho mnakitamani, hili tatizo litawasumbua sababu litakua halifikii matarajio yako ya ukweli.
Mkuu tuna maanisha anga la Iran lipo UCHIMnajisahau kuwa hata drone za shahed zinaruka kutoka Iran kwenda Israel.
Unataka kunambia drone pia sio rahisi kuzuiliwa?
Sijui mtadanganya kwa lipi.
Netapaka aliwaza nini kuchokonoa mzinga kwa mkono? 🤔Jeshi la Iran:
Israel waondoe watu haraka kwenye kituo cha kinyuklia Dimona maana wana jambo lao hapo muda wowote.
Wakati huohuo Bado US anasita hana uhakika kama B2 bomber hata KWA kutumia Satan 2 missile wanaweza kuharibu mitambo ya nuclear ya Iran chini ya Ardhi.
Russia anasema chini ya ardhi huko Kuna wanasayansi wake wa Nyuklia na haiwatoi.
Ni hayo tu