City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Sijaelewa mkuuHaaaa umechoka mzeee ndio ukubwa mkuu kizazi chetu kinashuudia kuangamizwa kwa taifa teule la mchongo!!!
Wanaojipanga kumuua Khamenei embu msikilizeni.View attachment 3376033
Hai hai hai!!!Asaivi me naangalia hata post ya kureply coz hawa wengine humu wanajibu wanachojisikia kujibu
Breaking News:
Israel muda huu imeshambulia radio ya Iran
mi navyofahamu ulaya hawawataki kulingana na hulka zao ndomana hitler aliwaua ,kutulia kwenye nchi yao israel ulaya na usa wako huru hivyo wakifurushwa tena masharki ya kati wataludi tena ulaya kitu ambacho hawataki kiufupi ulaya ni wanafiki kingine israeli ipo kwa maslahi ya west na usa...kumbuka hapo mwanzo uno ilipendekeza waletwe uganda,wakakataa wanawalinda kwasababu baada ya kutengwa na dunia walihakikishiwa ulinzi wa vizazi vyao mashariki ya kati na duniani kwa ujumla.ASANTEKuna mtu anaweza kunambia uhusiano gani wa kindugu, kisiasa, kitamaduni, kijamii, kijeshi au wa aina ina yoyote ule alionao Israel na mataifa makubwa ya Ulaya na US?
Yaani ukimgusa Israel kidogo tu ni kama umekanyaga kende za USA na washirika wake.
NB. Asitokee mtu akanambia wanasyansi wa Israel ndio wanaoiongoza USA na upuuzi kama huo.
Habari za kuaminika zinasema kwamba kama Iran itaendelea kurusha missiles towards Israel kwa kasi hii, basi Israel itaishiwa missiles za ku-counter missiles Zach Iran ndani ya siku ishirini au mwezi mmoja - hivyo huko Israel bado hali ni tete sana hawakutegemea kwamba Iran ni mfupa uliyo shinda FISI, hawajui hata watajinasuaje kwenye mtego huu walio uingia kichwa kichwa mpaka wanatishia kumtoa pumzi kiongozi wa Iran - wamelemewa sana hapa wanajikaza kisabuni tu!! Mara,hoo ndege zetu zimelipua roketi zote za Wairan,kesho yake Iran inatuma roketi marudufu sasa wapi na wapi, na Trump inaonekana hataki kujiingiza katika mgogoro huu, mwaka jana au mapema mwaka huu alituma ndege yake B-2 kubomoa mahandaki ambayo Wahuothi wa Yemeni walikuwa wanaficha missiles zao,licha ya bomber hiyo kudondosha bom hilo kubwa lakini halikuweza kuangamiza missile za waasi hao wa Yemen - mahandaki hayo walijengewa no Wairan,sasa Kama Merikani inafikiri inaweza kulisambaratisha bunker iliyo jengwa wa ustadi WA hali ya juu hapo Merikani watajisumbua tu no kumbuka wanasema handaki hilo lipo mita 90 mpaka 100 chini ya aridhi na limejengwa Kia reinforced concrete!!
View: https://twitter.com/iafsite/status/1935666863608066199?s=46&t=jBV33CYF5UeUYEyjGfZCAQ
Israel bado anakibarua cha kuhakikisha anamaliza missile launcher la sivyo atahangaishwa sana
Njia gani wanapita?
Mkuu mimi nadhani tuondoe hisia kidogo. Waisrael wakiwa ndani ya nchi au nje ya nchi wapi wanakuwa salama sana kwao?Mkuu unaleta habari za upande mmoja?
Unajua hao wanaorudi wanarudi kwasababu ipi?
Embu kachimbue habari zaidi.
Mkuu haya ni makosa. Hakuna sababu ya kushambulia radioKushambulia radio Iran sio kwamba ni muendelezo wa kutarget raia?
Wao wana haki ya kushambulia miundo mbinu ya kiraia ikishambuliwa ya kwao makelele ya kutaka kuonewa huruma ni mengi kila sehemu.Breaking News:
Israel muda huu imeshambulia radio ya Iran
Wote naona wsmeamua kuviolate sheria za vita na kila mtu analia na mwenzieWao wana haki ya kushambulia miundo mbinu ya kiraia ikishambuliwa ya kwao makelele ya kutaka kuonewa huruma ni mengi kila sehemu.
Kombora ni bei kuliko ilo jengoTaifa teule linapata tabu mnoView attachment 3375729 😃😄😄😀