Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Hao akili zao fyatu kabisa, binadamu gani hawa ambao wanapanga hata assassinate mkuu wa Nchi, Ayatollah kawafanya nini?? Wenyewe no jeuri zao walikata shauri kuvamia nchi ya watu bila sababu za msingi - kibao kimewagehuka ndio wanapanga kuondoka na Dunia nzima kama ikiwezekana!!! Iran iliwahi kupigana vita kwa miaka minane-Israel ina uzoefu gani zaidi ya kuwaonea onea Wapalestina,basi!!Mkuu haya ni makosa. Hakuna sababu ya kushambulia radio
Waarabu wamegoma
Taarifa za vifo vya mageneral t ndio mnatoa sababu ile sio siri, taarifa za vinu huwa anatoa Israel na hapo Iran kwani Israel anapiga vinu na mageneral tu hakuna vingine au hivyo vinu ushawah ona picha zake kwenye page zozote za Iran vita ya taarifa ni very important kwenye dunia ya sasa ko kila mmoja acheze kwa upande wake ndio maana tv yenu ikatiwa kiberitiAkiuawa general wanasema,kijipigwa kinu wanasema, israel wazee wa 'wamerusha matatu tu,yote yamepanguliwa..' msemaji wao wa mwanzo kalambwa, hawasemi,sasa hivi msemaji mwingine
Pakistan wanapakana na Iran,ni karibu vilevile, waarabu itakua wamegoma kuwa kituo cha kushambulia Iran,kaona amfuate mwenye njaaNafikiri anaogopa kuweka facilities zake karibu hapo maana hizo missiles zinaweza kufika kirahisi, hata kuweka aircraft carrier hapo karibu nayo ni risk..
Lazima akae mbali kidogo ili awe anarusha f35 na b2 na kufanya Ariel refueling then zinarudi base.
Kukaa Saudia, Iran, Kuwait au Oman inaweza kuwa kisanga.
Iran kila wakipigwa husema, tatizo unaangalia vyombo vya kiyahudi tuTaarifa za vifo vya mageneral t ndio mnatoa sababu ile sio siri, taarifa za vinu huwa anatoa Israel na hapo Iran kwani Israel anapiga vinu na mageneral tu hakuna vingine au hivyo vinu ushawah ona picha zake kwenye page zozote za Iran vita ya taarifa ni very important kwenye dunia ya sasa ko kila mmoja acheze kwa upande wake ndio maana tv yenu ikatiwa kiberiti
Iran achapwe ndio anaondoa amani mashariki ya katiMarekani wanaiomba Pakistan waweke military base kwa kuwaahidi kuwapa F-35, advanced missiles na pesa/financial aid...
Trump has asked Pakistan for airbase, land & sea access. Hopefully, like Yahya & Musharraf, this time Asim Munir will not compromise on Pakistan's freedom & sovereignty..
Hili swali nilimuuliza mtu Jana ambaw alikua anaichukulia powa Iran. Nilimuuliza hii Iran unayosema hamna kitu unajua kua Ina miaka kibao ipo kwenye vikwazo? Lakini bado wameweza kuwa na silaha za kisasa, je wasingekua na vikwazo?Iran ni moto wa kuotea mbali ndugu zangu. Hivi kama wasingekuwa na vikwazo ingekuwaje?
Jamaa nasikia anadunda tuTaarifa za vifo vya mageneral t ndio mnatoa sababu ile sio siri, taarifa za vinu huwa anatoa Israel na hapo Iran kwani Israel anapiga vinu na mageneral tu hakuna vingine au hivyo vinu ushawah ona picha zake kwenye page zozote za Iran vita ya taarifa ni very important kwenye dunia ya sasa ko kila mmoja acheze kwa upande wake ndio maana tv yenu ikatiwa kiberiti
Waarabu wamegoma kuishambulia Iran kutoka kwenye kambi zao hapo Middle East...US sasa wanaomba base Pakistan, mambo si mazuri....
Kwenye Quran hao ni manabii wa Allah na si wafalme, waisrael hata yesu walimuita 'mfalme wa wayahudi' lakini kimsingi ni nabiiHivi kwenye quran tukufu daudi na Suleiman walikuwa wafalme wa taifa gani
Ndo maana naungana na wanaoamini dini ni mtego. Haiwezekani mpigane kwa ajili ya Alah.Ujumbe wa muwakilishi wa Ayatollah Khamenei kwenda kwa jeshi la Iran
View attachment 3374529
Jamii ya watu wanaojielewa na wenye akili nyingi ndio US huwawekea vikwazo na kuwapiga vita, North Korea, Iran, China , Russia n.k hao watu ni moto wa kuotea mbali..Iran ni moto wa kuotea mbali ndugu zangu. Hivi kama wasingekuwa na vikwazo ingekuwaje?
US haina uwezo kupambana na Iran pasipo kuweka base yake mashariki ya kati au kwa majirani wa Iran, la sivyo mtasgangazwa, na Iran imejipanga kukabiliana na US zaidi kuliko hata Israel japo kwa sasa msaada wa US nyuma ya Israel inaonekana hausaidii, hivyo US inabidi aingie mzima mzima official..Iran achapwe ndio anaondoa amani mashariki ya kati