City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ni sawa na kuuliza watapeleka wapi mafuta yalochujwa🤣 🤣 🤣 🤣 Kauli ya kinyonge sana, sasa atapeleka wapi hayo material
Leo asubuhi hawakushambulia hapo, Bali wakaishambulia eneo la nuclear huko arokHapo handaki la khamenei si walishambulia leo asubuhi,hajafa tu babu wa watu aende peponi?
Atakuwa eliminated muda si mrefuKamanda wa juu wa Iran Mohsen Rezaei akiwa anahojiwa SNN Tv
View attachment 3376273
Kuna video footage ya shambulizi Hilo la bunker penetrating bombs. Naangalia usahihi wake then nitaziweka. Hata hivyo Kuna giza sana Tehran hivyo video hazipo clearIletwe taarifa ya kifo 🥳🥳
Israel muda huu imeshambulia kwa makombora tena imam Hussein University Tehran
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935791601294463342?t=2vzE6jtcp8TSUYd1xcrJIw&s=19
Habari za kushambulia eneo la makazi ya ayatollah zilishatoka, kama siyo jana basi leoLeo asubuhi hawakushambulia hapo, Bali wakaishambulia eneo la nuclear huko arok
Wameutaka,watapewaVideo footage: Israel imuda huu inashambulia kwa makombora Tehran
View: https://x.com/Osint613/status/1935796142438056248?t=b4CjLMWNmJI2sCgpqqbV2A&s=19
Uko sahihi kwa mtazamo wako.Pakistan alishindwa, Venezuela alichakazwa vibaya sana akakimbia huo USA. Unafikiri Iran ni Iraq na hao Libya ambao kijeshi walikua wadogo sana.
Sio leo, Leo Israel alifanya shambulio Hilo tu asubuhiHabari za kushambulia eneo la makazi ya ayatollah zilishatoka, kama siyo jana basi leo
Yule babu tukimpoteza hawa tutawamuduKuna video footage ya shambulizi Hilo la bunker penetrating bombs. Naangalia usahihi wake then nitaziweka. Hata hivyo Kuna giza sana Tehran hivyo video hazipo clear
Kuna total blackout eneo lote
Oyooo wauwane tuVideo footage: Israel imuda huu inashambulia kwa makombora Tehran
View: https://x.com/Osint613/status/1935796142438056248?t=b4CjLMWNmJI2sCgpqqbV2A&s=19
Watakao fanya situation analysis lazima wajue hali juu/nje ikoje, ili ujue kuna watu lazima wawe njeHaiwezi kuwa hivyo, wote hao nguvu zao wanazijua. Atayeweza kumfumua mwingine kutoka underground ndio atafanikiwa huko unachosema