Wewe nilishaachaga kujadiliana na wewe maana ni psychopath.Wewe pro lran utaambiwa nini kizuri cha lsrael ukubali? Ondoa ushabiki kwanza na ukubali kujifunza ndio utaelewa ukweli ulivyo
Hizo ni drone me naongelea missiles, hizo drones hata na bunduki unaitungua hizo zinaonekana hata kwa macho, kwanza unaelewa mechanism missiles zinavyofanya kazi hasa hizi modified oneOna hii jamaa.
View attachment 3377492
Hapo wanadai kuwa wanahofia kuangukia kwao ndio maana wanatatungua ila tunajua dhahiri ni janja janja ya kumsaidia Israel.
Pia ongezea na mifumo ya anga ya Arrow 3 na mengineyo.
Factless guy wewe.
Ngojea nikuletee habari nzima uisome.Hizo ni drone me naongelea missiles, hizo drones hata na bunduki unaitungua hizo zinaonekana hata kwa macho, kwanza unaelewa mechanism missiles zinavyofanya kazi hasa hizi modified one
Soma hiyo habari.Hizo ni drone me naongelea missiles, hizo drones hata na bunduki unaitungua hizo zinaonekana hata kwa macho, kwanza unaelewa mechanism missiles zinavyofanya kazi hasa hizi modified one
Mfano kinu cha Natanz kilisadikiwa kuwa na Uranium inayo tosha kutengeneza mabomu kumi haiwezekani mitambo inayo rutubisha madini mengi namna hiyo ishambuliwe alafu mionzi isijuve.Zile process zilizokuwa zikifanyika pale zilikuwa hatua za mwanzo kabisa ya full enrichment so risk ni kidogo pia vingne vilishambuliwa havifanyi kazi kwa muda au kabla ya kukamilika, kasome BBC news or Al Jazeera walielezea vizuri hilo swali lako just kagoogle, sehemu ambapo kunaonyesha kuna risk kubwa itatokea ni fordo japo Iran pia wamesema walihamisha material before ila ukiwauliza kwanini makamanda wako waliuawa eti lilikuwa ni shambulio la kushtukiza 😁😇 I don't need peace I want problem always
Shaabashi! What?Aisee kobazi wanachezea kipondo mda huu huko🤣🤣🤣🤣🤣
Yeah napenda napenda factsNgojea nikuletee habari nzima uisome.
Kaisome nishakutumia.Yeah napenda napenda facts
Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?Kwahiyo hujui kuwa ndani ya Israel wakristo wanatemewa mate na Wayahudi na neno kristo halitakiwi kabisa kusikika na idadi ya hao wakristo wenyewe waliopo Israel ni wachache kuliko waislam?
Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?Kwahiyo hujui kuwa ndani ya Israel wakristo wanatemewa mate na Wayahudi na neno kristo halitakiwi kabisa kusikika na idadi ya hao wakristo wenyewe waliopo Israel ni wachache kuliko waislam?
Achana naye mkuu!Unavyoandika reply ndefu kama unaandika point ila sasa ni masikitiko,
Yaani we utafanya kutengeneza kamikaze na hypersonic missiles ndio uwe father wa technology, kwanza mbabe wa hypersonic na mwanzilishi ni Russia, kuna mataifa yameiva kila angle kuanzia ardhini majini na angani, nchi haina hata ndege wala manowari za kivita uiite father of technology, haimiliki hata ICBM 1 hypersonic zenyewe ni za kuhesabika hata Israel anajua heshima hiyo idadi yake tu kwa niaba ya Israel anajua heshima yake kwa wingi Iran. kuliko hata USA, Russia na china
Me sio mzuri kwenye kuandika me napenda oral debate nipe namba yako ya WhatsApp vita iendelee
Kumbe Jewish wako peace tofauti na masimulizi ya waajemi.Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?
Nchini Israel ni kosa kwa mtu yeyote kumtemea mate na ukipatikana unafungwa miaka mitano na faini juu!!!
Kuna clip inayosambazwa na Wafuga Midevu na Majini ambayo ndiyo inatumika kama Propaganda kutaka kuonyesha wayahudi ni watu wabaya sana. Hizo ni Propaganda uchwara tu.
Nakuambia hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025 nimeona kwa macho yangu kuwa tunayoambiwa na Wafuga Midevu na Majini ni uongo uliopindukia.
Yametunguliwa yote