SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Video footage: Israel imeshambulia kwa makot kambi ya Ahvaz muda mchache uliopita
 

Attachments

  • 2025-06-21_17-17-43_0.mp4
    711.6 KB
Video footage; Israel muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya Ahvaz
 

Attachments

  • 2025-06-21_17-25-26_0.mp4
    248 KB
Uko empty sana kwa details na kujenga hoja,inaathiri hadi uulizaji maswali, rasilimali gani za mataifa yenye nguvu kijeshi wamezitamani na dhaifu kijeshi hawakuzitamani?.. DRC na angola ni mataifa yenye nguvu kijeshi?
 
Asante sana ndugu yangu ubalikiwe sana tunahitaji uchambuzi kama huu, na mimi nilijua wewe unakitu kikubwa sana ambacho unaweza kutupa Asante sana

Lakini Nina swali tena jingine je Israel wakati anaanzisha hii vita akiwa na malengo ambayo wewe umesema hawezi kuyatimiza, yeye binafis alitaraji nini? Kwamba USA atamsaidia? Au yeye mwenyewe alijamian kwamba angeweza akiwa peke yake?
 
Wakuu mmepata hii au bado maana huko irani kuwa kamanda wa kijeshi ni kukataa kuishi kwa makusudi
 

Attachments

  • Screenshot_20250621-172538.jpg
    135.8 KB · Views: 13
Mabinti wa kiyahudi wapo road kwenda kuchezea kende za ayatollah😁😁😁

Wiki imeisha anga linathibitiwa na mayahudi kababu ayatollah hata msikitini hakatokei siku hizi

Mm naomba vita iishe israel kashatuonyesha kuwa yeye ndio mkali wa hiz kaz

Nb hii picha ilikuwa dkk 20 kabla yakuanza kushusha mzigo ikabidi fueling ifanyike angan

 
Watu wenye mahaba ya upande mmoja hawawezi kukuelewa kabisa. Hasa pale ambapo unaleta habari za upande mmoja mfululizo, sasa kama upande mwingine hawajafanya tukio we habari utazitolea wapi?
 
The image depicts smoke plumes rising over what appears to be a city in Ahvaz, Iran, potentially indicating military activity or conflict.
The image was shared on social media on June 21, 2025, with a caption in Persian translating to "Image of IRGC barracks and bases in Ahvaz".
The context of the social media post and comments suggests a discussion related to military figures and operations, possibly involving the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…