gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Umeing'ang'ania hiyo habari, ilikua fake,waliipandisha channel 14 wakaishushaSijasema vinu vya nyuklia nimesema Kuna vitu walienda kudisable, hata hivyo hiyo update sikuiweka sababu hata mm nilisoma sikuelewa vizuri maelezo
Siyo zote, trump kasema tatu,bushehr ya mrusi nani kapiga?Wamepiga karibu zote... Hiyo fordow ndio main
Kuna moja ya heavy water...
Jamaa kwa uongo kutetea Iran wao hawajambo!,,Iran ana nuclear sites zaidi ya nane,wamepiga tatu
Kuna zingine Israel ameshazivamia kabla ila hawakuwa wameenda chiniSiyo zote, trump kasema tatu,bushehr ya mrusi nani kapiga?
Hilo ndiyo pekee lingetumika na hakuna ndege ya kubeba zaidi ya b 2 ya marekani ambayo hajampa israelPentagon wanasema GBU bunker buster bomb ndio imetumika, niliyekua nachukua uopday kwake alikua sahihu
Tatu ndio muhimu zaidiSiyo zote, trump kasema tatu,bushehr ya mrusi nani kapiga?
Zipi?Kuna zingine Israel ameshazivamia kabla ila hawakuwa wameenda chini
Twitter unapataje nambie VPN gn unaitumia ni download faster
Kuna moja inaitwa ArakZipi?
π€£ π€£ π€£ Mimi siko gerezani kwa Samia kakaTwitter unapataje nambie VPN gn unaitumia ni download faster
Wanaume wamefunga kazi tu waache watu waanze TAQIYYAH zao tuNuclear site ya fordow imeharibiwa yote
Chukua VPN Free iko poaTwitter unapataje nambie VPN gn unaitumia ni download faster
Pentogon wameconfirm ilitumika hili kombora la GBU bunker busterIsrael imeshambulia kwa kombora la GBU bunker buster
Mkuu wewe tulikupa kazi ya kutupa taarifa tu. Kubishana tuachie sisi wenye mahaba na upande mmoja wa vita. Anayeona unaleta taarifa za uongo basi yeye alete za ukweli. Ni suala la muda tu kujua nani ni mkweli nani ni mshabiki.Kuna jamaa hapo muda si mrefu alikua anasema naleta updates za uongo