City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ngoja tusubiri mkuu. But Iran wamenishangaza kukubali anga lao siku nzima ndege Vita za adui kuruka zinavyotakaBREAKING: Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC): “For us, the war has just started.”
Nakubali sana wao kila kitu kinaanza siku mpyaBREAKING: Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC): “For us, the war has just started.”
Sasa hivi ameshaelewa nilichokua naleta. Alibisha muda ule naleta updates kabla ya hizi taarifa kuthibitishwa muda huuMkuu wewe tulikupa kazi ya kutupa taarifa tu. Kubishana tuachie sisi wenye mahaba na upande mmoja wa vita. Anayeona unaleta taarifa za uongo basi yeye alete za ukweli. Ni suala la muda tu kujua nani ni mkweli nani ni mshabiki.
Kama Israel tu imewachachafya mpaka Iran ikaonekana haina Mifumo ya ulinzi sasa kwa Marekani ataweza wapi? Labda atumie Magaidi!!!BREAKING: Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC): “For us, the war has just started.”
Mifumo ya ulinzi wa anga ilishaharibiwa na mashambulizi ya Israel kwa hiyo sasa hivi Iran iko uchi wa Mnyama!!!!Ngoja tusubiri mkuu. But Iran wamenishangaza kukubali anga lao siku nzima ndege Vita za adui kuruka zinavyotaka
we mwehu kweli hapo kapigana marekani au israel?Kuna mtu alikuwa anasemaga vita ya Siku 6 ni uwongo.
Walianza Hezbollah wiki, now Iran mbabe wao siku 8
Mkuu hak Iran wafanye revenge, hii ya kusema Israel inataja kujitoa haina maana sababu hata kama hawajapiga fordao lakini si wameshambulia Iran maeneo mengine toka siku ijumaa iliyopitaIsrael anatafuta namna ya kujitoa... tulisema humu Israel haina uwezo kupambana na Iran mkatuona wajinga..
Yamepigwa mangapi mkuu huko?Bomu la tani 81
Mbona unajitia upofu kwa ushabiki?Ilikuwaje mkaamini uwezo wa Iran?😂😂 Aliwapa nini, hamjajifunza kwa watu wake wa Karibu, a.k.a Proxies
Israel ndio hao hao MAREKANI ,Israel anatafuta namna ya kujitoa... tulisema humu Israel haina uwezo kupambana na Iran mkatuona wajinga..
Sawa naona habari zina circulate kuwa hakuna radiation leaking ya vinu kutoka Fordow.Mkuu inakuaje tena wanajeshi wa Iran? Hilo zoezi limefanywa na marekani na Israel buka mtu yoyote kujua. Iran yeye ni mhanga muda wote alikua anashambuliwa ili kulegezwa
Sasa kama Iran anapigwa tu yeye hapigi taarifa za kupigwa kwa Israel wewe utazitoa wapi? Ndio maana wenye mahaba wanaona unapendelea upande fulani.Sasa hivi ameshaelewa nilichokua naleta. Alibisha muda ule naleta updates kabla ya hizi taarifa kuthibitishwa muda huu
Taarifa inasema ni 6Yamepigwa mangapi mkuu huko?