SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ngoja tune leo usiku wanachukua hatua gani , tusubiri supreme leader atachukua hatua gani, inabidi atandike vyuma ipasavyo hizo kambi kwa wakati mmoja...

Iran itumie hii fursa kupiga base za US ambapo hutumika ku intercept drones zake na missiles, mfano Iraq na Jordan, pia US wana meli zao zipo mashariki mwa bahari Mediterania ambapo hizi meli zina intercept missiles na drones za Iran..

Hivyo atumie hii fursa kutandika hizo interceptors zote ili Israel ibaki kama ilivyo zaliwa.. hapo ndio patakuwa patamu..
 
Kama ungelikuwa mshauri wao wa kivita, muda siyo mrefu ungeifanya Iran iwe kama Afghanistan.
Ukifanya hivyo US atakuja mzima mzima, kumbuka kwa sasa chama tawala ni Republican chama cha vichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…