Mscreenshot muweke, maana X imefungwa nchini na wengi hawana VPNChina ameamua kuichukulia vita hii serious. Sasa tuone mwisho wake ni upi. Utawala wa USA unaenda kuzikwa mwaka huu
View: https://x.com/NavCom24/status/1936819685917409768?t=4VpyWDsfG5Gslccz2EOeFw&s=19
69% tupe evidence,Hiyo queue ya kawaida ya kila siku kama yetu ya kutoka posta kuelekea mwenge. Wayahudi huko 60% wamekimbilia Cyprus
Target ya leo ni kwenda kuharibu vinu vya nyukilia vya Israel. Wameambiwa kabisa. Wajiandae waweke Iron Dome yao paleWanamaanisha nini? maana hili ni bomu la nuclear walitengeneza US miaka ya 1960s...
Shusha update mkuu achana na hao wewe kazi yako moja tu update ndo kazi tuliyokupa humu ndanSio masaa 48 na sio kila muda, pili ndege huwa sio moja. Ndege zinaweza kuwa 10, 15, 20 n.k
Zipo zinazokua stand by kupokea mashambulizi na zipo zinazokua zinaendelea kushambulia
Hizo meme unazoziweka mtoto wangu wa miaka 3 anazitengeneza sana. Umri wako miaka mingapi?69% tupe evidence,
View attachment 3379098
hiyo queue ya one direcctin for miles in midnight ndyo kama ya mwenge, heshimu post za waathirika wa Ayatollah, na experience ya Arabs
View attachment 3379098
69% tupe evidencece, ba hiyo queue ya one direcctin for miles in midnight ndyo kama ya mwenge, heshimu post za waathirika wa Ayatollah, na experience ya ArabsHiyo queue ya kawaida ya kila siku kama yetu ya kutoka posta kuelekea mwenge. Wayahudi huko 60% wamekimbilia Cyprus
Mimi nimeweka 60% wewe unaweka 69% usinilishe maneno hayo. Sipendi uongo wa wazi wazi69% tupe evidencece, ba hiyo queue ya one direcctin for miles in midnight ndyo kama ya mwenge, heshimu post za waathirika wa Ayatollah, na experience ya Arabs
Ndio nitazileta, ukiona kimya ujue hakuna update au mashambulizi yamesimama au hakuna kinacheendeleaShusha update mkuu achana na hao wewe kazi yako moja tu update ndo kazi tuliyokupa humu ndan
Usisahau tu picha na tu video tu
Hiyo queue ya kawaida ya kila siku kama yetu ya kutoka posta kuelekea mwenge. Wayahudi huko 60% wamekimbilia Cyprus
Pls show us the evidence nowHiyo queue ya kawaida ya kila siku kama yetu ya kutoka posta kuelekea mwenge. Wayahudi huko 60% wamekimbilia Cyprus
Desperate worshippers of defefunct AyatollahMimi nimeweka 60% wewe unaweka 69% usinilishe maneno hayo. Sipendi uongo wa wazi wazi