President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kaka fuatilia comments zangu mimi vita ya kuchambana nilishawaachia wanawake. Chamba unavyoweza sisi tunaleta evidences tu.Desperate worshippers of defefunct Ayatollah
Kiongoz wa ngazi gani au kamanda jeshinNi assassination attempt
Trump anadhani kuongoza nchi ni kama kuongoza makampuni yake ya Mieleka pale WWE au mashindano yake ya Miss Universe.This man is sick😂
Diplomasia hajui na bado anadhani dunia ya zamani, kuwa America bado ina nguvu kama kipindi hicho! Ukipigwa biti unatulia.Trump anadhani kuongoza nchi ni kama kuongoza makampuni yake ya Mieleka pale WWE au mashindano yake ya Miss Universe.
Unawatishia wafanyakazi wako kuwanyima mshahara ili wa sign contract. Iran kagoma falsafa yake ya Art of Deal
AI by Gemini AppVideo footage; Mapambano mengine muda huu eneo la Yazd
Israel wengi tu tulijua humu hawezi kuvumilia kipigo cha Iran, sasa ulimi umemtoka nje na bwana yake US na nuclear hawajaharibu wala regime change, Iran ilikuwa inamkimbiza mwizi hadi achoke... sasa ni wakati wa kipigo...Wateule washaanza kuchoka, kobazi wanapenda ugomvi kuliko kula
Iran waziri wake wa mambo ya nje ameshatua Moscow. Haijulikani kaenda kufanya nini!Naona sasa hivi Kuna emergency meeting New York kuhusu Iran.
Yani taifa moja linajadiliwa "Iran".