SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nafikili kutakuwa kuwa uhaba wa missile, SI kwamba wameishiwa ila
Kwa kiasi chake yameharibiwa.

Kuna mtu alituambia iran wana makombola ya kutuma 3 years
 
Kama ndo hivyo basi mashambulizi mengi ya Israel yatakuwa yanazuiwa maana haya mashambulizi ya masaa 24 kama yote yangekuwa yana piga tagert sidhani kama Magharibi mwa Iran kungekuwa kuna kalika.
Iran ni nchi kubwa sana mkuu,
Kuichakaza nchi mzima ni kazi sana
Hata kwa jet 90 kwa mpigo
 
Natizama inside story hapa Al Jazeera wakizungumzia kuhusu regime change Iran.
Oya huyu dada wa kiajemi anatema madini kiquma.
Anakwambia Saudia Arabia,USA wali deploy Kila kitu Yemeni dhidi ya Houthi wafanye regime change ila wali give up kwasababu raia wanasimama na Houthi.
Vivyo hivyo raia wa Iran wengi tunasimama na utawala wetu hivyo hatutaki regime change kutoka external force labda tufanye sisi wenyewe.
😂😂😂😂😂😂Mbombo ngafu.
 
Makobaz bhana 😂
Mbona hatuoni Israel ikiangamizwa Zaid YA Nyie kupelekewa moto tuu
 
Kwa ndoto unayoota ninauhakika umeshajiharishia.

Nenda kaanike hilo godoro kama siyo kulichoma moto.
 
Wewe si mmoja wapo wa ambao huwa wanabong'olewa msikitini kwa kushikishwa ukuta na Ustaadh? Maana si kwa kufahamu huko , hila shaka Kundu lako lishachakazwa na mishedede ya maustadh kwenye misikiti
mkuu sio vita ya kidini
 
Tuzingatie zaidi kwenye paragraph ya mwisho kuhusu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…