SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ni zaidi ya kp kipanya44 kwenye ule uzi wa russia na ukraine. City Thunder OKC kwa kauli yake aliniambia anapenda vita. Ila ule ushetani mazatuni wanaowafanyia wapalestina haoni kama ni ukatili. Sijajua yupo upande upi. Kobazi au mazayuni.
 
Sidhani kama hilo laweza kutokea kwa karne hii.....marekani wanajua madhara ya kutumia hayo mabomu na iliwagharimu sana kuijenga upya nagasaki na hiroshima pia ilitumia gharama kubwa kuwafanya raia wa japan wasiwe na kinyongo nao
Ila myahudi mstaarabu Sana. Ingekuwa Iran ana Nukes Kwa jamba jamba aliyopewa hii wiki angeshashusha mda mrefu pale Tel- Aviv.Lakini myahudi anapigana Tu Kwa uwezo wa Iran wakati ana nuke
 
💥The IDF struck 6 regime airports across western, central, and eastern Iran, destroying runways, underground hangars, refueling aircraft, F-14, F-5 and AH-1 aircraft.

The destroyed aircraft were meant to stop IAF jets. The IAF impaired takeoff capabilities from these airports, as well as the Iranian military’s ability to operate its air force from them.
 
Israel huyu ambaye Hamas wamemtoa jasho Gaza?
Au Israel ipi?
Acheni masihara nyie. Gaza imechakazwa jamani!!! Nani anakumbuka ule mji wa aleppo kule syria. Au Bamkut kule ukraine. Mtangazaji m1 wa aljazeera alisema life expentation ni 6 hours ukiwa hapo bamkut. Kila hatua unayokanyaga unakanyaga danda la risasi...Wapalestina walichofanywa hawatakuja kurudia tena ule usenge waliofanya october 7 2023.
 
Video footage: Israel muda mchache uliopita imeshambulia eneo la edical science city/ Bam Tehran
 

Attachments

  • 2025-06-23_12-45-06_0.mp4
    1.2 MB
Mkuu unaongea tu kama chombo kisichoongozwa.
Pia hujaelewa nachokusudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…