100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Russia kuwa na budget ndogo kijeshi haimaanishi ni udhaifu wa jeshi, kwa miezi mitatu Russia anazalisha ammunitions mara nne zaidi ya members wote wa NATO combined akiwemo US endapo wakizalisha kwa mwaka mzima..Putin kamaliza kuongea muda si mrefu tafuta interview yake na waandishi, kasema kabisaaa mi budget yangu ya vifaa vya kijeshi ni ndogo sana kulinganisha na Marekani, na NATO ndio kabisaa, kwahiyo yeye walaa hataki maujinga ya Iran. Acha wapige mdomo huku wanatwangwa🤣
Video ya hili shambulio hujatupatia💥💥
Mabus 20 yanahamisha wafungwa huko Iran kutoka gereza lililoshambuliwa lanEvin kwenda magereza tofauti ikiwemo greater Tehran prison
Video ya hayo mabus yakihamisha wafungwa au video ya gereza kushambuliwa?Video ya hili shambulio hujatupatia
Hao huwa wanashambulia vitu gani? kwa maana Iran ikipiga kombora 3 tu pal Tel Aviv asubuhi ni habari ya ulimwengu, huyu Israel anaipiga Iran kiasi hiko analenga nini?💥💥
Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora kambi ya jeshi saeed abad
Wacha utani basi kaka!Qatar kunaungua moto mda huu
Habari ya ulimwengu sababu wanapiga maghorofa ya raiaHao huwa wanashambulia vitu gani? kwa maana Iran ikipiga kombora 3 tu pal Tel Aviv asubuhi ni habari ya ulimwengu, huyu Israel anaipiga Iran kiasi hiko analenga nini?
Kweli vile kunawaka motooooWacha utani basi kaka!
Bado unabisha!?Mkuu tusubiri, mpambano ndio kwanza umeanza. Mbivu na mbichi zitajulikana
Israel kwa mikwara.. halafu wanarusha baruti Tehran wanasema wanashambulia.... hawapo serious..💥💥💥💥
Taarifa zinasema Israel imewapa masaa 12 maafisa wa jeshi la Iran kukimbia nchi.
😆😆😆😆😃...nawashauri wakimbie hao maafisa💥💥💥💥
Taarifa zinasema Israel imewapa masaa 12 maafisa wa jeshi la Iran kukimbia nchi.
Mkuu! Hii khabari ni ya kweli? Nilienda kuwinda kitoweo ndiyo nimerudi muda huu.Video ya hayo mabus yakihamisha wafungwa au video ya gereza kushambuliwa?
Shin bet ni ukachero wa ndani, mossad wa nje,kama MI5&6(UK),CIA &FBI USAKuna muhuni huko anasema kuwa mkuu wa shirika la Mossad ni David barnea, na Huyu Shin bet ni wa wapi tena?
Sio kweliMkuu! Hii khabari ni ya kweli? Nilienda kuwinda kitoweo ndiyo nimerudi muda huu.
Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv
😂😂😂 Kosugi ungekuwa unakimbia now💥💥💥💥
Taarifa zinasema Israel imewapa masaa 12 maafisa wa jeshi la Iran kukimbia nchi.
Ngoja tusubiriIsrael kwa mikwara.. halafu wanarusha baruti Tehran wanasema wanashambulia.... hawapo serious..