SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi ni kweli Iran haijafanya damage ya maana hizo kambi zote?
Nimeona pale Aljazeera wakisema wamezuia makombora mengi Moja tu ndio limepenya.
Ngoja tuone baadae.
Ila makombora yaliyotumika ni madogo sio yale mazito nimeyaona aisee.
Asa sijui Iran anamuonea imani Qatar?
Maana mwaka Jana waliunda uhusiano wa kidiplomasia.
 
Lakini ukiacha utani Iran anashambulia Nini Cha maana, au Kobazi wanafurahia watu kwenda kwenye mahandaki tu
 
Itakuwa hawakutakakuzua taharuki, kwa maana wangetuma vile vyuma vyao wanavyovipiga Tel Aviv ingekuwa hatari..
 
Wewe unajuaje ni mdogo
 
Unajua Qatar wapo na Ugonvi na Saudi Arabia halafu Qatar wapo Treat na Iran kuhusu visima vya gesi maana gas reserve imeungana na Iran. Hapo Qatar ukija ugomvi wa Iran na Saudi Arabia Always huwa anakuwa upande wa Iran. Siasa ya hapo ni very complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…