MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kila mtu anaangalia maisha yake, now ni zamu ya Ayatollah kwenda kwenye mahandakiMbona Gaza imesahaulika ghafla?
Kumbe wewe ni mtutsi?Wahutu
Yeah nahisi ni warning Iran katoa maana Trump kauli yake inaonesha hataki vita iendelee.Itakuwa hawakutakakuzua taharuki, kwa maana wangetuma vile vyuma vyao wanavyovipiga Tel Aviv ingekuwa hatari..
Kwani hapa mahakamani?Lete ushahidi
Mimi naona anarusha makombola tuu, asilikia kubwa bila Target.Lakini ukiacha utani Iran anashambulia Nini Cha maana, au Kobazi wanafurahia watu kwenda kwenye mahandaki tu
WarningYeah nahisi ni warning Iran katoa maana Trump kauli yake inaonesha hataki vita iendelee.
Pia Qatar na Iran mwaka jana zilishapatana kidiplomasia.
Aina ya makombora yaliyotumika waliyaelezea ni light mid range missiles.Wewe unajuaje ni mdogo
Bado mkuu, sijui wanazo ngapi na ngapi zimeharibiwaHivi toka waanze kushambulia hizo launchers hawamalizi?
Umesoma aliyoeleza Trump?Warning
So kombola linaloenda mbali ndo linauhalibifu mkubwa, kuliko linaloenda karibu?Aina ya makombora yaliyotumika waliyaelezea ni light mid range missiles.
Sio heavy long range missiles kama zilizotumika Israel.
Namhurumia sana Iran maana anarudishwa nyuma miaka 100Lakini ukiacha utani Iran anashambulia Nini Cha maana, au Kobazi wanafurahia watu kwenda kwenye mahandaki tu
Ndio maana baada ya kuripuliwa Base ya Qatar haraka haraka Saudia Arabia kamlaumu Iran yaani anajipendekeza Upande wa Qatar ili aonekane anashirikiana naye. Kuna case nyingine ya UAE na Oman utacheka. Kuna mkoa wa Oman upo ndani UAE unaitwa MadhaUnajua Qatar wapo na Ugonvi na Saudi Arabia halafu Qatar wapo Treat na Iran kuhusu visima vya gesi maana gas reserve imeungana na Iran. Hapo Qatar ukija ugomvi wa Iran na Saudi Arabia Always huwa anakuwa upande wa Iran. Siasa ya hapo ni very complex.
Kaka anauliza swali. Halafu unamtaka alete ushahidi. Huku ni kuchanganyikiwa au vipi?Lete ushahidi
Kwan uwezo wa kombora unapimwa vipi?So kombola linaloenda mbali ndo linauhalibifu mkubwa, kuliko linaloenda karibu?
Ngoja tusubiri maana hata juzi walisema 400 yanarushwa uciku ,Breaking news: lran kurusha makombora 500 usiku huu kuelekea lsrael, tukae tayari lsrael inaenda kufutika rasmi