Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hahahaha kweli maji yamezidi unga,umepigwa kutwa nzima badala ya kujibu mapigo eti unasubiri anaekupiga akae kimya halafu usijibu na hapo hapo unasema hutambui ceasefire💥
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema Hakuna makubaliano yoyote ya ceasefire. Lakini Israel Israel wasiposhambulia baada ya saa kumi alfajiri(muda huu) basi wao hawatajibu.
Ngoja tuone he Israel itafanya mashambulizi baada ya muda huu? Tusubiri
View attachment 3380888
Iran hawana uwezo wala power ya kufanya devastation kwa Israel. Iran anahitaji sana ceasefire kuliko Israel.💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya Mostafa Khomein magharibi mwa Tehran
Israel wanaendeleza mashambulizi nje ya muda ambao Iran wamesema. Ngoja tusubiri itakuwaje
Kuna sehemu niliona hii nilikuwa nasubiri mwingine aone then tusubiri ukweli wenyewe.Taarifa ambazo sio rasmi zinasema huenda Ayatollah Khamenei na familia yake wameuwawa
Sio taarifa rasmi
Juzi na Jana Israel kashambulia sana almost maeneo yote muhimu ya Iran,likely ikawa kweli.Taarifa ambazo sio rasmi zinasema huenda Ayatollah Khamenei na familia yake wameuwawa
Sio taarifa rasmi
Nahisi alikuwa na huyo kamanda Hossein Najat mwenye kikosi cha kuilinda Tehran💥💥💥💥💥
Taarifa ambazo sio rasmi zinasema huenda Ayatollah Khamenei na familia yake wameuwawa
Sio taarifa rasmi
Sidhani, sababu hata hiyo ceasefire haitakuwepo endapo atakua assassinated kweli. Iran hasatakubaliJuzi na Jana Israel kashambulia sana almost maeneo yote muhimu ya Iran,likely ikawa kweli.
Tusubiri,labda ndio maana hawataki hiyo ceasefireSidhani, sababu hata hiyo ceasefire haitakuwepo endapo atakua assassinated kweli. Iran hasatakubali
Sasa hivi hakuna mashambuliziTusubiri,labda ndio maana hawataki hiyo ceasefire
*Earlier tonight - mapema usiku huu.