SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Acha uongo mbona Nagasaki na Hiroshima watu wanaishi????
Nuke ile na ya sasa ni tofauti kwenye uboreshaji hii ya leo ni mara kumi ya kipindi kile kwa madhara

France alifanya majaribio kule algeria sijui libya lile eneo halifai tena kwa matumizi milele🙌🙌

Pale japan mpaka leo wanazaa vilema
 
Waisrael wa buza na namtumbo utawajua tu
 
Ji
Danganye nadhani huwaelewi west vzr
 
Safari hii Mtanyooka tu!,
Nyie ndio mtanyooka,kuna usir mkubwa wa kuficha taarifa za maafa huko nchini kwenu israel

Baba yenu Trump umesikia kaumbuka huko,hakuna madhara makubwa yaliyo athir vinu vya nyuklia

Tusubir come back ya pili,tutawatafuta hata nyie waisrael wa buza na namtumbo si mnajifanya mna vina saba vya israel
 
Wewe endelea kubwabwaja tu Marekani si wajinga kama wewe warushe dege Toka Marekani mpaka Iran bila faida yoyote ile. Mtadanya weee lakini ukweli utabaki palepale tu. Heb msikilize Trump hapo chini
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    909.8 KB
Wewe endelea kubwabwaja tu Marekani si wajinga kama wewe warushe dege Toka Marekani mpaka Iran bila faida yoyote ile. Mtadanya weee lakini ukweli utabaki palepale tu. Heb msikilize Trump hapo chini
Kwahiyo marekani hashindwi kitu,yeye amekuwa Mungu?

Ebu acha ushabiki usio na maana
 
Wewe endelea kubwabwaja tu Marekani si wajinga kama wewe warushe dege Toka Marekani mpaka Iran bila faida yoyote ile. Mtadanya weee lakini ukweli utabaki palepale tu. Heb msikilize Trump hapo chini
Trump ndo mdudu gani kati yake na wataalam nani wa kumsikiliza
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…