SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Jamaa LIONGO hili yaani wewe ambae hujui kuunda hata njiti ya kibiriti unasema Iran imeisha?? hivi sisi Tanganyika tuna roketi yetu ya kurusha hata mpaka Bunju A ya kwetu wenyewe ya kuunda hapa?? mtu anaunda Balistic Missile inasafiri KM 2000 Kwa dakika 5 unasema mjinga yaani watz nyie!!!!

Israel kama wao wanajiweza kwanini wasijisimamie wenyewe?? unapokua unamtukana au kumdhalili mtu jiangalie na wewe kwanza anzia kwako ikitokea leo Marekani inataka kutupiga sisi Tanganyika tunaweza kusimama hata saa 5??? maana hakuna Vita Israel itaenda bila kusaidiwa na US na wote mnajua US ni habari nyingine kijeshi na uchumi!! acheni kujifanya mnajua sana kusema uongo!! utajuaje watu waliokufa israel wakati Walizuia media kureport?? nani alikuambia ni Sunni ndio uchonganishi wenyewe ili ionekane waliouwawa ni wasuni tu..Huwezi kusema Balistic MISSILE iangushe kituo cha utafiti cha sayansi eti kilikua na Sunni!! shame,,,Msuni gani ni mwanasayansi israel???
 
Ila huu Mtanange jamani ulitupa raha sana mana ulikua ukiamka unasikia kimewake usiku kucha Israel na mauongo yao unayaangalia unabalance story kwingine kwa kweli utamu wa 12 days ulikuepo sana ..sasa turudi mashenzini mara mtu katekwa mara sijui Yanga imegoma mara Simba ujinga ujinga
 
Mara no reforms no election 😂😂
 
wewe..!
hakuna watu wanaotumia uchawi mkubwa kama mosad duniani.yaani hao sio heti wanatumia sayansi tu.hiyo timu ya mosad ina uchawi mkubwa kuliko unavyofikilia.
isipokua tu wamekutana na vigagula wenzao .hebu fuatilia CV ya ayatorah halafu utafakali mwenyewe kumjua ayatora ni nani.
 
Na vipi kuhusu Israel
 
Kwahiyo marekani hashindwi kitu,yeye amekuwa Mungu?

Ebu acha ushabiki usio na maana
Wewe ndiyo unasema hivyo lakini ukweli utabaki palepale Marekani si wajinga wa kurusha dege kutoka marekani mpaka Iran bila maana yoyote!!

Iran wenyewe wanajua maiki wake na ndiyo maana wanasema uongo ili kificha aibu yao wasichekwe na dunia!!! Wamesahau kuwa kwa dunia ya leo huwezi kuficha kitu maana kila kitu kiko wazi hata kama utafanya sherehe fake kufanganya watu umeshindwa watu wanaelewa sana kuliko unavyojua wewe!!!
 
Kuliko wataalam😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 27
Wewe endelea kubwabwaja tu unalalamika tu bila kufafanua unalalamikia nini!!!

Kwa ujinga ulionao wewe unafikiri Ballistic missile zote hizo alitengeneza Iran peke yake bila msaada wowote kutoka nchi zingine???

Kwa akili yako hata viwanda hivyo vya nuclear anatengeneza peke yake hahitaji msaada kutoka nchi zingine??

Kama unaamini hivyo basi inabidi ukapimwe mkojo maana utakuwa zuzu wa kutupwa na ambaye hujitambui kwa lolote!!!!

Kama Russia supapawa anaweza kusaidiwa na nchi zingine kijeshi leo aje awe Iran yeye hasaidiwi nakushangaa sana. Na kama Russia anasaidiwa na China,Korea ya kiduku,South Afrika na nchi nyingine nyingi tu iweje kosa Israel kusaidiwa na Marekani? Au kwa sababu Marekani kwenu ni kama mungu wenu maana kila kitu lazima mlalamike Marekani!!!!!
 
Acha kulialia weh mzee!!!


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1937891326713827405
 
Kama hujui Trump hapo yuko kazini kuwapa dawa ya kupunguza maumivu baada ya kipigo cha mbwa-koko!!!!
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Mjuvi wa mambo kutoka uyole
Anabadili badili maneno kama chura
Na hawa wataalam yani ni mwendo wa humu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…