We jamaa ni takataka. Sijui huko makanisani huwa wanawaambia nn mpaka unakua chizi kiasi hichi.Tena kama Kupatikana wamepatikana vizuri sana!!!!
Na walivyo wajinga na wapumbavu nasikia kwamba kutakuwa na Gwaride la Ushindi huko Tehran usiku wa leo.
Kwa ajili ya nini?
Hakuna nchi ambayo imedhalilishwa kiasi hiki kwa muda mfupi hivi kama Iran
Mpango wao wa nyuklia umeangamizwa wanasayansi 60+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kijeshi Makamanda waandamizi 30+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kiintelijensia Umeangamizwa.
Uongozi wa IRGC na askari wa miguu wengi wa IRGC na Basij wameangamizwa.
Vikosi vyao vya anga na mifumo ya ulinzi wa anga vimeangamizwa.
Mamluki wao waHezbollah, Hamas, Assad, na mlolongo wengine wa wakala umetoweka, hatimaye Lebanon na Syria zinaweza kuwa huru kutokana na upenyezaji wa mashia.
2/3 ya uwezo wao wa kurusha makombora imetoweka, pamoja na mamia mengi ya makombora yao
Ayatollah anaishi kwa sababu tu Trump anataka aishi.
Mossad iko kila mahali nchini Iran, hata uongozi wa juu zaidi wa kisiasa na kijeshi umepenyezwa kikamilifu.
Iran walipata nini?
Majengo 50 lililoporomoka nchini Israel, 3 kati yao ni misikiti ya sunni.
Watu 28 waliokufa, 11 kati yao ni Waarabu wa Kisunni.
Hakuna mwanajeshi mmoja wa Kiisraeli aliyekufa kutokana na vita vyao vya siku 12.
Walikuwa wakiomba kusitishwa kwa mapigano tangu siku nne sasa, kupitia njia 5 tofauti, lakini wana jeuri ya kudai ushindi wao pengine kwa fedheha kubwa tuliyoiona hivi karibuni?
IDF imewafanya wanyenyekevu zaidi na wanajifanya wasionekane wameshindwa vitani ndiyo maana wanajiandalia Sherehe ya ushindi fake!!!
Kama Iran ingekuwa nchi makini na kwa sababu wameshambuliwa wasingekubali huo usitishwaji wa Mapigano lakini kwa kuwa walikuwa wamelemewa pandę zote imebidi tu wakubali kusitisha mapigano kuliko kuendelea kupigwa kama watoto!!!!
Hapo kanisa limeingiaje wewe Mfuga Midevu na Majini?We jamaa ni takataka. Sijui huko makanisani huwa wanawaambia nn mpaka unakua chizi kiasi hichi.
Kanisani kwako wamekufanya uwe kichaaHapo kanisa limeingiaje wewe Mfuga Midevu na Majini?
Bishana na mzee mwenyewe sasa!!😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Mjuvi wa mambo kutoka uyole
Anabadili badili maneno kama chura
Na hawa wataalam yani ni mwendo wa humu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunawaongelea wataalam wake hapa mzee ndio nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bishana na mzee mwenyewe sasa!!
Msameheni tuh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Humu tu ukisimama nchale ukikaa unawekwa
Sawa jinga kubwa zile kauli za Iran isarenda ikageuka tunaomba vita isitishwe tumekoma 🤣🤣🤣🤣Endeleeni kujidanganya Iran kapigwa vibaya sana ndiyo maana kukubali kusitisha mapigano wakati yeye mwenyewe alichokozwa liona mapema kipigo ni kikali sana hivyo ikamlazimu kukubali yaishe wajinga tu ndiyo wanamuona eti ni bonge la shujaa!!
View: https://x.com/osint613/status/1937881828750225781?s=61
Sawa Iran amegaragazwa harafu wewe unasema kashinda kashindaje?Sawa jinga kubwa zile kauli za Iran isarenda ikageuka tunaomba vita isitishwe tumekoma 🤣🤣🤣🤣
Haya makorokoro ukimaliza unywe maji meengiii maana regime change imefeliSawa Iran amegaragazwa harafu wewe unasema kashinda kashindaje?
1. Kupoteza makamanda waandamizi30+?
2. Kupoteza udhibiti wa anga lake kwa siku 12?
3. Kupoteza wanasayansi wake 60+?
4. Kupoteza Jeshi lake la anga?
5. Kushindwa kuangusha ndege-vita hata moja ya Israel?
Vitenge vya Babu tale haukupata?Kama hujui Trump hapo yuko kazini kuwapa dawa ya kupunguza maumivu baada ya kipigo cha mbwa-koko!!!!
Sema kweli!Tena kama Kupatikana wamepatikana vizuri sana!!!!
Na walivyo wajinga na wapumbavu nasikia kwamba kutakuwa na Gwaride la Ushindi huko Tehran usiku wa leo.
Kwa ajili ya nini?
Hakuna nchi ambayo imedhalilishwa kiasi hiki kwa muda mfupi hivi kama Iran
Mpango wao wa nyuklia umeangamizwa wanasayansi 60+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kijeshi Makamanda waandamizi 30+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kiintelijensia Umeangamizwa.
Uongozi wa IRGC na askari wa miguu wengi wa IRGC na Basij wameangamizwa.
Vikosi vyao vya anga na mifumo ya ulinzi wa anga vimeangamizwa.
Mamluki wao waHezbollah, Hamas, Assad, na mlolongo wengine wa wakala umetoweka, hatimaye Lebanon na Syria zinaweza kuwa huru kutokana na upenyezaji wa mashia.
2/3 ya uwezo wao wa kurusha makombora imetoweka, pamoja na mamia mengi ya makombora yao
Ayatollah anaishi kwa sababu tu Trump anataka aishi.
Mossad iko kila mahali nchini Iran, hata uongozi wa juu zaidi wa kisiasa na kijeshi umepenyezwa kikamilifu.
Iran walipata nini?
Majengo 50 lililoporomoka nchini Israel, 3 kati yao ni misikiti ya sunni.
Watu 28 waliokufa, 11 kati yao ni Waarabu wa Kisunni.
Hakuna mwanajeshi mmoja wa Kiisraeli aliyekufa kutokana na vita vyao vya siku 12.
Walikuwa wakiomba kusitishwa kwa mapigano tangu siku nne sasa, kupitia njia 5 tofauti, lakini wana jeuri ya kudai ushindi wao pengine kwa fedheha kubwa tuliyoiona hivi karibuni?
IDF imewafanya wanyenyekevu zaidi na wanajifanya wasionekane wameshindwa vitani ndiyo maana wanajiandalia Sherehe ya ushindi fake!!!
Kama Iran ingekuwa nchi makini na kwa sababu wameshambuliwa wasingekubali huo usitishwaji wa Mapigano lakini kwa kuwa walikuwa wamelemewa pandę zote imebidi tu wakubali kusitisha mapigano kuliko kuendelea kupigwa kama watoto!!!!
Iran ni Shujaa, imagine anapigana na USA!! Vita siyo kuvaa vitengeEndeleeni kujidanganya Iran kapigwa vibaya sana ndiyo maana kukubali kusitisha mapigano wakati yeye mwenyewe alichokozwa liona mapema kipigo ni kikali sana hivyo ikamlazimu kukubali yaishe wajinga tu ndiyo wanamuona eti ni bonge la shujaa!!
View: https://x.com/osint613/status/1937881828750225781?s=61
Hiyo taarifa ya kushindwa kulipua vinu na kuviharibu imetolewa na iran au taasisi toka marekani?Wewe ndiyo unasema hivyo lakini ukweli utabaki palepale Marekani si wajinga wa kurusha dege kutoka marekani mpaka Iran bila maana yoyote!!
Iran wenyewe wanajua maiki wake na ndiyo maana wanasema uongo ili kificha aibu yao wasichekwe na dunia!!! Wamesahau kuwa kwa dunia ya leo huwezi kuficha kitu maana kila kitu kiko wazi hata kama utafanya sherehe fake kufanganya watu umeshindwa watu wanaelewa sana kuliko unavyojua wewe!!!