SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huyu ......kobazi walisema kafa...........daaa masikini uchi mdogo umepewa chupi kubwa
 
Timu Zionist imekuwa kama imepigwa ganzi na kuna myahudi wa tandale kwa tumbo alisema katika kitu Iran 🇮🇷 imekosea ni kuishambulia Zionist hawatakaa wasahau!Sasa naona amejua ukimya wa Iran 🇮🇷 na nguvu aliyonayo kijeshi japo anavikeazo vya kiuchumi miaka 30!
 
Wale jamaa hatari mi sijtaegemea kama iran wapo vozuri kiasi kile hata western world wote wameachwa mdomo wazi, vitu vinatumwa hadi makao ya mossad ,halafu zile irone dome zimegeuka pazia
 
Hata kama wewe huyu njiwa kagharamiwa pesa nyingi kuliko badget ya TZ na Kenya, halafu wataalam wanakuja sema hivi, kigugumizi lazima👇👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 27
Basi kwa Israel watakuwa hata 10000 wameuwawa maana waliokimbia nchi wamefika million
Hata kule iran wakimbizi million 5 wa Afghanistan wamekimbia na kurudi kwao.
Raia million 4 wamekimbia Terhan maana Terhan kula watu million 10.
So 40% ya raia wamekimbia.

Sasa mpk wakimbizi wapo tayari kurudi kwa Taliban ujue Hali hakikuwa mzuri.
Iran raia wachache sana ndo walitoa nje ya nchi Yao.
Iran ni nchi kubwa sana, raia walikuwa wanaunda sehemu Salam tuu,
Tofauti na Israel kanchi kadogo.

Ila ya Israel raia wa Israel ni rahisi kuchukua hatua coz ya warning makombola yakija yanaonekana since yanatoka iran, 20 minutes kabla ya kutua.
Labda wale siku za kwanza
Ila baada ya kama 2 days hivi, raia wengi walikuwa hawapo kwenye majengo.
 

View: https://www.youtube.com/shorts/IfLjdsgfvrM?t=16&feature=share
 
gTurn mdogoye Adiosamigo Webabu Ritz na Kenge wengine wote!!!
 
Two million people fled an exodus without return.

Israel's entire military and infrastructure were destroyed.

The Israeli Hess website was hacked, revealing the deaths of:
6 senior military generals
32 Mossad officers
78 Shin Bet officers
27 naval officers
198 air force officers
462 soldiers
423 civilians
Israel's interceptor missile losses:
$11 billion

Not to mention the complete destruction of a third of Israel.

Streets and roads are covered in rubble to be cleared.

Israel faces a real catastrophe it never anticipated from its inception.

Seaports are almost completely destroyed.

Services are nonexistent.

Gas and electricity stations are damaged and out of service.

There are things that were not shown on TV, satellite channels, and the media. They are almost completely destroyed.
Important sites, airports, and sites are destroyed.

Israel has received a crushing blow. It cannot be rebuilt again and will take three to four years to rebuild.

The current destruction is estimated to cost three trillion shekels.

Netanyahu rushed his strike on Iran, but his strike achieved nothing. The Iranian nuclear reactor was not affected.

The Iranian regime did not fall, and Netanyahu did not fulfill his promises to the Gulf states, who paid trillions of dollars to realize this dream of the end of the Islamic Republic of Iran.

Iran will certainly emerge stronger after the strike and regain its strength.

Israel, the Gulf states, Europe, and America did not expect Iran to be this strong, resilient, and tactical.

Iran swept away all the trillions of dollars in the Gulf and trampled on Israel in an unexpected and unprecedented manner.

Indeed, Israel, America, and the Gulf states lost the war with Iran.

Iran did win.

There are things that will be revealed later that were the reason for Iran's victory.

Iran has become the master of the Middle East.

Iran asked its friends to enter the war alone and did not seek help from anyone. It wanted to discover the extent of its ability to confront and withstand.

Iran forced the Israeli enemy. The US and Europe called for a ceasefire.
Trump feared that Iran would prolong the war and exhaust America and Israel.
This would lead to the imminent collapse of America and Israel.

Not to mention the global economy being exposed to fuel crises and rising prices of food and basic commodities worldwide.

America feared that it would ignite a third world war and that Iran's allies would join the battle, leading to dire consequences.
 
Hiyo taarifa ya kushindwa kulipua vinu na kuviharibu imetolewa na iran au taasisi toka marekani?
Tumia akili yako vizuri. Marekani ndiye aliyeshambulia vinu hivyo harafu kwa ujinga wako wewe unataka habari kutoka kwake!! Huo ni ujinga na upumbavu uliopitiliza!!!!
 
Tumia akili yako vizuri. Marekani ndiye aliyeshambulia vinu hivyo harafu kwa ujinga wako wewe unataka habari kutoka kwake!! Huo ni ujinga na upumbavu uliopitiliza!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Humu zuzu unahangaika kubishana na ukweli
 

Attachments

  • 6110111-a600e4979ae6b0e944cb76dedc3ed53.mp4
    1.3 MB
  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 17
Hiyo sasa ndiyo inaitwa Taqiyyah unasema uongo kumfurahisha mnyazimungu wako. Tuwekee majina kama ni kweli hata tu picha tu tuwekee. Mbwa wewe sasa hivi unaweweseka tu.
 

Attachments

  • IMG_3463.jpeg
    249 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…