SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Jeshi la anga la Iran limetangaza kuuwawa kwa makamanda wake waandamizi waliuliwa na Majeshi ya Israel baada ya kambi zao kushambuliwa na Makamanda hao kuuwawa mmoja baada ya mwingine.

Pogo hilo ndilo kulilolifanya Jeshi hilo limitรณw upinzani wowote kwenye mashambulizi yaliyokuwa yakiendelea huko Iran.walishindwa wafanye nini maana ndege-vita zao nyingi ziliangamizwa na wakuu karibu wote waliangamizwa.

gTurn kaa kwa kutulia IAF moto wao si wa kitoto!!!
 

Attachments

  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 16
Hiyo sasa ndiyo inaitwa Taqiyyah unasema uongo kumfurahisha mnyazimungu wako. Tuwekee majina kama ni kweli hata tu picha tu tuwekee. Mbwa wewe sasa hivi unaweweseka tu.
Tatizo lako upo kisanga unajidai upo Tela Aviv wenye kuujua ukweli vimbwa koko vyenyewe viliopo Israel sio mbwa koko yupo kisanga
 
Tatizo lako upo kisanga unajidai upo Tela Aviv wenye kuujua ukweli vimbwa koko vyenyewe viliopo Israel sio mbwa koko yupo kisanga
Mbwa hao hapo chini wameangamizwa na Jeshi la Israel mazishi wametangaza kesho jiandae kwenda kuaga hiyo Mizoga!!
 

Attachments

  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 19
Ukitaka kujua kwa uchache tu tz imejaa vilaza soma coments za humu


Halafu wanataka kuitoa ccm madarakani amini nakuambia ccm watatawala milele amina....
 
 
Tumia panadol upoze maumivu
 
Hao ni jeshi la anga tuu.
Bado majeruhi
 


does survival equal victory???​

 
Kitu kilivyobanguliwa
Claim: The viral photo shows an American B-2 stealth bomber shot down by Iran.
Fact: The photo is AI-generated, and no credible reports confirm any B-2 bomber being shot down. In fact, a 23 June 2025, post by the White House showed B-2 bombers safely landing in Missouri after a mission. Hence the claim is FALSE.
 
Mbwa hao hapo chini wameangamizwa na Jeshi la Israel mazishi wametangaza kesho jiandae kwenda kuaga hiyo Mizoga!!
Sasa kama makamanda waliokabidhiwa mamlaka ya kuongoza mapambano wanakufa kizembe hivi hao wanajeshi wa vyeo vya chini itakuwaje kama sio kutimua mbio!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ