Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,217
- 5,907
Njoo nitembele uone kitu nitakuburuza hadi akili itakukaa sawa.Akili za kijinga kabisa kila wakati unafikiri kufirwa tu wala hufikirii vitu vingine!!! Uko bizę kujadili Pet issues za ushoga tu wala huna akili ya kujadili vitu vya msingi!!!
Akili za kijinga hizo!!Njoo nitembele uone kitu nitakuburuza hadi akili itakukaa sawa.
Shiba na wewe ndipo uandike... Kwanini uandike huku una njaa?😊Kila mtu akishashiba Maharage ya Jana anajisemea tu na wajinga wanaona kuwa ni kweli!!!
Hawa vijana waliouliwa huko jiji la Hamedan ndio wamefanya Leo wananchi wa Hamedan kuandamana💥
Kwa sasa Iran ukiwa hueleweki movements zako na ukakutwa eneo ambalo pia lipo nje ya mji basi jiandae kuuliwa. Iran wanasafisha kila watayemhisi anafanya upelelezi wa kutumiwa na Israel
Muda mchache uliopita vijana wawili katika mji wa Hamedan, Mehdi Abaei na Alireza Karbasi waliuliwa baada ya kusimamishwa na Askari kisha kushukiwa kuwa huenda wanafanya upelelezi. Walipigwa risasi hapohapo hadharani
View attachment 3390370
View attachment 3390371
Mzee wa habari za upande mmojaWananchi hawa pia wanaimba wimbo wa "Oh Iran", ambao ulipigwa marufuku na serikali ya Iran
Naweka habari zote kwa kadri navyozipata, kama hakuna habari yoyote kubwa basi huwa sina cha kuwekaMzee wa habari za upande mmoja
Mbona hamna chochote, acha usenge💥💥
CCTV footage: assassination iliyofanyika, gari linaonekana likilipuka. Ni kamanda gani na ni nani bado taarifa kamili haijatoka. Tusubiri taarifa kamili
Video inaogofya.(chukua tahadhali wakati wa kuangalia)
Israel ni magaidiTukio limetokea eneo la Sil/khardeh kusini mwa Lebanon
Ye anapost tu kitakacho kaa mbele yake kinacho muhusu Iran, ukweli au si kweli, halisi au si halisi hana huo mpangoMbona hamna chochote, acha usenge
Mkuu nimeweka taarifa video ikagoma ku-upload lakini baadae ikakubali nikaiweka, rudi tena kwenye hiyo taarifa utaiona hiyo videoMbona hamna chochote, acha usenge
Mkuu unachosema hakina ukweli. Hiyo taarifa niliattach na video lakini video ikagoma, Ila baadae ikakubali hivyo unaweza kurejea hiyo taarifa utakutana na hiyo video.Ye anapost tu kitakacho kaa mbele yake kinacho muhusu Iran, ukweli au si kweli, halisi au si halisi hana huo mpango
Video wewe umeiangalia?Mkuu unachosema hakina ukweli. Hiyo taarifa niliattach na video lakini video ikagoma, Ila baadae ikakubali hivyo unaweza kurejea hiyo taarifa utakutana na hiyo video.
Mkuu video nimeangalia kabla, pia kuhusu tahadhali hasa ya gari ambalo linalipuka ni muhimu sababu si wote hupenda footage za aina hiyo. Kwenye gari kuna watu/mtu, sio wote huweza kuhimili kuona video ya hiyoVideo wewe umeiangalia?
Je umeona nini?
Vip kuhusu maneno yako ya chini ya onyo ulio yatoa yanauhalisia wowote?