City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Yule ni mmarekani aliechangamka na sio israel mdauIsrael na washirika wake walaaniwe kwa wanachokifanya katika mataifa yanayojikongoja ki-technology hasa mashariki ya kati, wanataka waendelee wao tu na si vinginevyo..... Mara utasikia Magaidi, mara ohooo....
Hutaki kusikia mlipuko mkubwa mkuuπββοΈHii vita imeisha, uzi ufungwe au utolewe tag ya LIVE. Maana kinachoripotiwa humu hata media nyingine kubwa haukikuti zaidi ya magazeti ya Israel tu kwa mujibu wa mtoa updates.
Ikitokea vita imeanza tena, tutaufungua na kuupa hadhi yake.
Naona tunapiga porojo tu sasa humu.
Ambayo kila siku inaripotiwa JF ila Al Jazeera na kwingineko haionekani?Hutaki kusikia mlipuko mkubwa mkuuπββοΈ
Wamebondwa haswa!Nasikia huko Gaza askari wa Israel wametandikwa vibaya sana kwa kupigwa ambush na Hamas...