Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Wakati anafanya ugaidi kwanini asiwe mdogo yeye na hamas si afadhali ya hamasMkuu Israel sio mdogo kihivyo
Wakati anafanya ugaidi kwanini asiwe mdogo yeye na hamas si afadhali ya hamasMkuu Israel sio mdogo kihivyo
Kwann atumie Ugaid kitendo cha kutumia Ugaid kipimo tosha cha zaifu!!! mbona Iran anajifichi mitaani Telaviv au Haifa na kuvizia watu wamelala????Mkuu Israel sio mdogo kihivyo
Hiyo kijeshi inaitwa “Adui ndani ya nyumba”💥💥💥💥
Mlipuko mkubwa kwenye makao makuu ya kikosi Cha Quds Tehran
Inahusikaje hapa?🇪🇪🚀Ukraine yaanzisha tena ufyatuaji makombola ya HIMARS.
Makombora yote yaligonga kwa usahihi malengo ya baharini baadhi yakiwa na ukubwa wa ndoo, kwa umbali wa hadi kilomita 15.
🇪🇪🚀 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!!
Adui ndani ya nyumba mbinu za kigaid imefikia walokole kushangilia Ugaid !!!Hiyo kijeshi inaitwa “Adui ndani ya nyumba”
Sorry ilitakiwa iende Ukraine-Russia war!Inahusikaje hapa?
Kwasasa Israel imeshakuwa ngoma ya IRAN muda wowote inajigia tu tatizo Israel kazidiwa ktk technology ya ulinzi wa Anga,,Iran imefunga ghafla anga yake, kwa muda unaojulikana wa kurusha makombora. Wakati huo huo uwanja wa ndege wa Istanbul umefuta safari zote za ndege kwenda Iran, Iraqi na Jordan - njia ya ndege ya shambulio la kombora la balestiki dhidi ya Israeli. Matukio yote mawili yanakuja saa chache baada ya IRGC kutangaza kwamba 'Shambulio la Israel dhidi ya Rais wa Iran halitapita bila jibu.'
”Angalizo” wasisingizie Wachawi tena!!!
Leo mambo ya ugaid mnasifia ?ama kweli nyie ni kondoo mliopoteaHiyo kijeshi inaitwa “Adui ndani ya nyumba”
Ugaidi huu wa wazi.