Nyingi zimeharibiwa yes Wana shortage.
Maana ripoti zinasema nyingi zimeharibiwa kabla hata ya kuanza kazi kwa shambulizi la ndani.
Khordak ni za short and medium range surface to air missile,hivyo huwezi kuzitegemea Khordak ADS.
Bavar ndio za Long range surface to air missiles,na wamebakiwa nazo chache sana,ku produce sio leo wala kesho wanahitaji muda.
Sawa sawa...
Russia sio wa kuwaamini sana wakati huu..
Kuna habari nilielezea humu zamani sana kuhusu Russia walivyopiga dili na Israel mwaka 2007/2006, Russia aliwauzia codes Israel za s300 zilizokuwepo Syria na Israel akamuuzia codes za drone za Israel zilizokuwa zinatumiwa na Georgia 🇬🇪 kuishambulia Russia...
Yaani Russia alikuwa anapambana na Georgia huku Israel akipambana na Syria, hivyo wakapiga deal, Israel ikawa inaingia Syria kama sebuleni kwake pasipo s300 kufanya lolote, huku Russia akiwa anaziteremsha drones za Georgia...
Georgia wakastuka wanachezewa, Syria na wao wakaomba msaada Iran, Iran ikapeleka engineers wa air defense systems hadi Damascus, wale engineers wakabadili codes za s300 na kuifanyia settings upya kabisa ndipo s300 zikaanza kuona ndege vita za Israel, lakini mwanzoni zilikuwa zinatambua ni friendly plane..
Huku Georgia na yeye akaenda Mexico akiwaomba wampe drones ambazo zilikuwa konki kuliko zile za Israel ambazo Russia alikuwa anazibutua hovyo kwa sababu amepewa codes zake na Israel watengenezaji wenyewe...
Mexico ilikataa kwa kuhofia kuingia kwenye ugomvi na Israel, Georgia ilibidi wauze zile drones kwa nchi moja sikumbuki vyema itakuwa Kazakhstan...
Lengo la kusema hivi, ni kama Iran haiamini Russia 100%, kwa maana kwa hii vita ya Ukraine, Russia aaweza kufanya tena kama hayo yaliyotokea 2007... maana Russia sasa anaweza kurubuniwa kupewa codes za silaha za west zilizopo Ukraine ili nae aiuze Iran..
Ndio maana kama umeusoma mchezo, Iran inatoa kauli za kishujaa kwamba wao wapo vizuri bado hawajahitaji msaada, sio kwamba hawapendi ila kuchezeana nahisi kumo...
Hio issue ipo chini sana watu wengi hawaijui, mtu yeyote atafute hio habari hata youtube haipo, hata wikipedia haipo, hio niliisoma kwenye leaked documents za wikileaks... nilikuwa nasoma email ni kama agents fulani walikuwa wakipeana hio siri..
Kama umeusoma mchezo utagundua ni kama Iran anakuwa mzito kuiomba Russia msaada wa ADs n.k, hadi siku ile Putin alisema, tuliwauliza Iran kama watahitaji msaada wetu wakasema hapana... haya mambo yanatisha sana..