Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Huenda mossad wako kwenye ngazi muhimu pale IranIla nahisi kwa haya yanayotokea ni kama attempts za ndani.
Huenda mossad wako kwenye ngazi muhimu pale IranIla nahisi kwa haya yanayotokea ni kama attempts za ndani.
Basi wapo kwa uchache lakini.kuna mossad agents bado wapo...
Kwa hio..kilicholipuliwa ni nini na kinachohitajika kufanya enrichment ni nini?Ninaifahamu vizuri
Ni kweli ila somehow maafa hayaonekani kuwa crucial.Huenda mossad wako kwenye ngazi muhimu pale Iran
Wameshambulia nuclear facilities, katika mashambulizi hayo Kuna kiasi fulani Cha uranium hakikuharibiwa. US na Israel Wana estimate Kama 20% ya enriched uraniumKwa hio..kilicholipuliwa ni nini na kinachohitajika kufanya enrichment ni nini?
unazungumziaje suala la Israel kujipanga kuishambulia Iran tena?Basi wapo kwa uchache lakini.
Ila sidhani kama watafanikiwa.
Ulisema mwanzo enrichment inawezekana hata nuclear facilities zikiharibiwa..ndio maana nikauliza hio enrichment inafanyika kwenye nini?Wameshambulia nuclear facilities, katika mashambulizi hayo Kuna kiasi fulani Cha uranium hakikuharibiwa. US na Israel Wana estimate Kama 20% ya enriched uranium
Kamekimbulia kuomba msaa wa kujenga mji upya💥
Balozi wa Marakani nchini Israel Mike Huckabee ameungana na Netanyahu kwenye ziara yake ya nchini marekani ambapo kutakua na mkutano Kati ya Netanyahu na Trump, moja ya ajenda kubwa ni kuhusu Iran
View attachment 3396619
Kwa mimi mkuu naweza kutoa sababu kuu mbili ama tatu.unazungumziaje suala la Israel kujipanga kuishambulia Iran tena?
Hii nashindwa kuelewa hadi sasa...
1-Ni Netanyahu anaionyesha dunia Israel sio wadhaifu kitu ambaho si kweli?
2-Israel kuna madhaifu wameona Iran, hivyo wamejisahihisha na kujipanga kurudi?
3-Hivi hawaogopi casualties walizopata kwenye hio vita ya siku 12 na hadi Trump kukiri wametandikwa?
4-Wanarudi kupambana ili kumuingiza US vitani?
5-Netanyahu hahofii msukumo wa wananchi ambao ndio wanakuwa wahanga wa hio vita?
6-Israel kuna kitu gani kipo nyuma kujiamini kiasi hiki?
7-Israel imepata hasara kubwa sana ambapo wameamua kulipiza kisasi?
Kwa kweli najiuliza sana maswali mengi.. lakini pia Iran wanafanya ujinga sana kumfanya Israel ndiye awe kama referee wa mchezo, akisema tupumzike na yeye anapumzika, wakisema vita ianze na yeye anaanza... sasa Israel anasema anarudi tena kuishambulia Iran...
Iran japo ADs zake zilikuwa zimeharibiwa lakini walipaswa waendelee kuishambulia kwa nguvu zaidi na zaidi Israel ili kusudi iwe fundisho...
Tuseme limepita, vita ya sasa Iran itumie nguvu kubwa kuiharibu Israel
Kiev imeweza sijui taifa teule limeshindwa wapi🇩🇪🇺🇦 Mfumo wa kuangushia Drones wa Skynex uliweza kuzipopoa Drones aina ya Shaheed 6 kwa wakati wa shambulio moja la anga huko kiev jana usiku!!!!
Ndio maana hawa Urusi sikuwahi kuwaamini kwa Iran wala China.View attachment 3403356
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameelezea kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ambayo yataizuia Iran kurutubisha madini ya uranium, Axios iliripoti Jumamosi, ikinukuu vyanzo.
Inasemekana aliwasilisha msimamo huo kwa Rais wa Marekani Donald Trump na maafisa wa Iran.
Mkuu urutubishaji unaweza kufanyika kwenye laboratories zingine, sio lazima iwe kwenye nuclear plants. Sababu kwatika kurutubisha uranium a kwenye process zote hakuna inapohitaji nuclear reaction yoyoteUlisema mwanzo enrichment inawezekana hata nuclear facilities zikiharibiwa..ndio maana nikauliza hio enrichment inafanyika kwenye nini?
Na hizo facilities zilizoshambuliwa za nuclear ni facilities gani na kazi yake ni ipi haswa ambazo hata zikishambuliwa bado enrichment inawezekana?nilitarajia kupata elimu ili tujenge hoja kwasababu umesema unayafahamu haya mambo
Na mimi naona hivyo, Iran imekuwa threat kubwa sana kwa Israel..Kwa mimi mkuu naweza kutoa sababu kuu mbili ama tatu.
1.Kwa vita ilivyotokea imeonesha Iran ni threat sana kuliko walivyomchukulia mwanzo,hivyo kwa Iran kuendelea kusimama kunawanyima usingizi Israel lazima wapambane kum neutralize kama Hizbollah.
2.Maumivu aliyosababisha Iran ni makubwa sana kiasi hata Israel hakubali kushindwa,ndio maana wanasiasa wa chama pinzani walizungumza kwa maafa aliyosababisha Iran kwao kheri vita ingeendelea kuliko kusimamisha vita hawajaona point ya kusitishwa vita baada ya maafa waliyopata,ni kama wamepata maafa for nothing.
-Wacha tuone mtanange utakuaje ila safari hii Iran akisema ajibu atajibu kwa strong force kuliko mwanzo.
-Ameshapokea ADS batteries toka China,pia kuhusu ndege zipo duru zinazosema wameshapokea zingine wanasema wako mbioni kupokea na mkataba mzima unasema ndege 350 ingizo la kwanza ndege 40.
Iran nayo imeanza kujirekebisha maeneo mengi ya kijeshi kama vita itazuka tutarajie makubwa.
Kwa Israel hatuna uhakika kama Trump atasimama naye ama laaah.
Najua..ndio maana nakuuliza kilichoharibiwa ni facility ya nini haswa hili swali bado hujalijibu..maana ukisema tu facility hata hio maabara pia ni nuclear facility..barabara zinazoenda maabara ni nuclear facility,reactors za kuzalisha umeme ni nuclear facility, magari ya hizo kazi pia ni facilities..kila kitu kinachohusiana na hio chain kuanzia huko maabara hadi output ya mwisho zoote ni facilities hadi migodi ya uranium pia ni facility..kwa hio kilichoharibiwa hadi nuclear ‘program’ isiwezekane kwa miaka mingi ni facility ipi haswaMkuu urutubishaji unaweza kufanyika kwenye laboratories zingine, sio lazima iwe kwenye nuclear plants. Sababu kwatika kurutubisha uranium a kwenye process zote hakuna inapohitaji nuclear reaction yoyote
Drones ngapi za Iran ziliweza kupenya ulinzi wa anga wa Israel!Kiev imeweza sijui taifa teule limeshindwa wapi
China mwenyewe anachotaka auze silaha uchumi wake ukue, urafiki wa kinafiki sana japo ushijaki wa ukweli ni kati ya Israel na USA pekee😇Ndio maana hawa Urusi sikuwahi kuwaamini kwa Iran wala China.
Iran isimame na misimamo yake tu.