City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
HapanaHuyu Sheikh Ali Taeb ndiye aliyetoa Fatwa ya kuuwawa Trump na Netanyahu?
HapanaHuyu Sheikh Ali Taeb ndiye aliyetoa Fatwa ya kuuwawa Trump na Netanyahu?
Mkuu Sasa mambo siayo!! Iran ndio Taifa teule Og wengine wanaiga tu..!!!!!💥
IQ ranks za hivi karibuni zinaonyesha kuwa Iran ni moja ya nchi yenye watu wenye akili sana duniani
View attachment 3401858
Anandoto kichwani mwake sasa aijatimia ya kuishinda Iran !!Huyu mzee afe la sivyo anaenda iangamiza nchi.
Kwann wasishangilie ikiwa adui yako akuwezi kias anatumia UGAID kupambana naww !!!Walikufa kizembe kabisa harafu kwa kujifariji na kujipa moyo wakasherehekea ushindi!! Hapo ndipo ujue Iran wana akili sana!!!!
Ulichokiandika mwenyewe unakielewa, kimekaa kijinga sana hakina facts kimejaa ushabiki tena wa kijingaKwann wasishangilie ikiwa adui yako akuwezi kias anatumia UGAID kupambana naww !!!
we fikiria Israel imepeleka nguvu kazi watu Iran ikalemeze kwanza mifumo ya Anga !!
Eti ndio Israel iweze kushambulia hii tu inatosha kuonesha udogo wa Israel kitechnology ya Kijesh kwa Iran.
IRAN imemwacha Israel kama alivo na mifumo yake ya Anga ikiwa sawa kabisa!!
Iran sio mdogo kijesh kias kuitaji kupeleka vijana kwanza uko Israel wakalemaze Mifumo ya Anga ndio apige !!
hii tu kwa mwenye Akili inatosha kufaam nani ndio MWAMBA wa Technology ya kijesh !!
Iran kaichakaza miji yote mizuri ya Israel wakiwa uko uko Iran yani watu wapo zao Iran wanakunywa chai siku 12 tu shubamit !!
uko km 2000+ Waisrael wakawa tayali njian kwa miguu kulikimbia taifa teule la mchongo
Mimi naamini jeuri hii ya Iran sasa iwe kinyume chake !!
waisrael ndio wawe kwao uko afu Iran ichapike kias kile adi Tramp arushe taulo Ulingoni haaaaa!!
awa waisrael wa Bonyokwa wangetusumbua sana apa JF vicheko kwao vingekuwa vingi!!
na mapambia ndio Usiseme Sadaka pia zingekuwa nyingi kwenye Vijiwe vyao. !!
haaaa Iran kawabakishia pesa zao mifukoni!!
Kwakuwa ww unafaamika upande wako sioni ajabu!! kutokuelewa mana kwako ujumbe wangu umeandikwa kichina !!!Ulichokiandika mwenyewe unakielewa, kimekaa kijinga sana hakina facts kimejaa ushabiki tena wa kijinga
Hii mada unayoiongelea hapa unaifahamu au ni mawazo yako tu.Mkuu kuna utofauti wa kurutubisha uranium, na mpango mzima wa nuclear. Wala hakuna nilipochangany
Kurutubisha uranium ni moja ya kazi iliyomo ndani ya mpango mzima wa nuclear
Kurutubisha uranium ni kitendo cha kuongezea uwezo uranium ili iweze kutumika kwenye vinu vya nuclear, na pia iweze kutumika kuunda silaha za nuclear
Kurutubisha uranium sio lazima kuwepo na nuclear facilities
Ninaifahamu vizuriHii mada unayoiongelea hapa unaifahamu au ni mawazo yako tu.
Kwa muda wa siku ngapi hayo maandalizi?💥💥
Jarusalem post wanaripoti Israel inajiandaa na mashambulizi ya kijeshi ndani ya Iran
Hawajaweka wazi liniKwa muda wa siku ngapi hayo maandalizi?
Hawa ndio WaIran naowajua Mimi wazee wa misimamo.💥
Waziri wa Mambo ya nje wa Iran anasema Iran ipo tayari kwa mazungumzo kuhusu nuclear, lakini kuhusu kurutubisha uranium hilo halina mjadala/mazungumzo
View attachment 3403290
Ila nahisi kwa haya yanayotokea ni kama attempts za ndani.💥
Afisa uhusiano wa uwanja wa ndege wa Mehrabad-Tehran, anasema mlipuko umetokea nje ya uwanja wa ndege na si ndani. Uwanja upo salama
kuna mossad agents bado wapo...Ila nahisi kwa haya yanayotokea ni kama attempts za ndani.