Kanukuliwa mmoja wa maafisa Iran,Tathmini kutoka wapi?
Maana Mr.Grossi kutoka IAEA amesema itachukua miezi kadhaa.
Embu tuambie tathmini uliyoleta wewe imetoka kwa nani ama chombo gani?
Pia kuna nuke site ambayo ina wanasayansi wa Urusi takriban 200 huko hakukuguswa.
Ni kama umejichanganya mkuu,hiyo miundombinu ndio ndio ingewezesha kurutubisha tena nuke for months.We unadai itachukua miaka.Kanukuliwa mmoja wa maafisa Iran,
Gross amesema kurutubisha uranium kutachukua miezi kadhaa, ni kweli na hata marekani, CIA na Israel wote wanasema kurutubisha uranium itachukua miezi kadhaa
Lakini mpango wa nuclear ikiwemo kuunda tena miundombinu ndio itachukua miaka kadhaa, CIA, Israel , pamoja hata na huyo Gross walisema hivyo pia
Ngoja tusubiri maana anasema wanajua kila kinachoendelea Iran na wana uwezo wa kufanya chochote popote pale IranManeno ya jaba hayo wajisemee wakenya.
Stori za jaba hizo mkuu.Ngoja tusubiri maana anasema wanajua kila kinachoendelea Iran na wana uwezo wa kufanya chochote popote pale Iran
View attachment 3402114
Mkuu kuna utofauti wa kurutubisha uranium, na mpango mzima wa nuclear. Wala hakuna nilipochanganyNi kama umejichanganya mkuu,hiyo miundombinu ndio ndio ingewezesha kurutubisha tena nuke for months.We unadai itachukua miaka.
Ni maneno yake, ngoja tusubiri kama ataweza kuyasimamiaStori za jaba hizo mkuu.
Hata mwanzo mwa vita si walisema vita itachukua miezi kadhaa kuisha?
Nadhani unaona walibadili tune wenyewe.
Huyu mzee afe la sivyo anaenda iangamiza nchi.💥
Netanyahu anasema Israel bado hawajamalizana na Iran. Bado ya kufanya ndani ya Iran
View attachment 3402149
We jamaa hakuna siku uta comment kitu chenye akili, sijui una shida gani katika mentality yako.Naunga mkono hoja maana si rahisi kwa Jeshi lolote duniani kupoteza Makamanda waandamizi 30+ kwa siku moja hayo ni matumizi mabaya ya akili walizopewa na mnyazimungu wao!!!!
Ngoja tusubiri mkuuHuyu mzee afe la sivyo anaenda iangamiza nchi.
Wew na shati lako la kitenge ndo unamjua Trump?Tatizo lako wewe humjui Trump!!!
Kama kwako hakina akili kwa wengine kina akili kwani shida iko wapi? Nimekosea kuweka mizoga ya Makamanda wa Iran 30+ waliouwawa kizembe na Israel?We jamaa hakuna siku uta comment kitu chenye akili, sijui una shida gani katika mentality yako.
Kama kwako hakina akili kwa wengine kina akili kwani shida iko wapi? Nimekosea kuweka mizoga ya Makamanda wa Iran 30+ waliouwawa kizembe na Israel?
Nasema jadili hoja unanijadili mimi nina faida gani kwako? Mmeliharibu Jukwaa kwa kueneza uongo na kusifiasifia tu mkipewa ukweli mnaanza kubwabwaja ovyo ovyo tu.
Hata kwa Hezbollah mlikuwa mnasema hivi hivi lakini walipobutuliwa mkanyamaza kimyaaaa!!!!!Ni maneno yake, ngoja tusubiri kama ataweza kuyasimamia
Vita ilishaisha wiki mbili na zaidi zilizopita harafu leo hii ndiyo mnaleta habari za kujifariji na kujipa moyo!! Baada ya kipigo kutoka majeshi ya Israel!! Endeleeni kujifariji tu!!
😂😂😂😂😂 Umefata nini humu wiki mbili zisha pitaVita ilishaisha wiki mbili na zaidi zilizopita harafu leo hii ndiyo mnaleta habari za kujifariji na kujipa moyo!! Baada ya kipigo kutoka majeshi ya Israel!! Endeleeni kujifariji tu!!
Eti walifichaaaa!!!! Sawa endeleeni kujifariji na kujipa moyo tu!!!!😂😂😂😂😂 Umefata nini humu wiki mbili zisha pita
Mabwana zako walificha wakaachia