Netanyahu ni mtu na nusu kutoka mateka 251 mpaka sasa wamebaki 50 si haba yuko vizuri sana.
Hamas ndiyo basi tena kwa kipondo kinachoshushwa huko Gaza kinatosha kuwafanya wewe marehemu wasipoangalia.
Kwa israel hakuna kama BIBI Netanyahu anajua sana kushika pabaya magaidi waulize Ismail Hanniyeh,Hassan Nasrallah,Yahya Sinwar,Mohamed Dief bila shaka watakupa ukweli!!! Kwa taarifa yako tu Netanyahu alipewa tenda ya kumaliza vita hii ndiyo atoke madarakani na kazi hiyo alipewa na wananchi wa Israel wenyewe!!!!