SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥
Waziri wa ulinzi wa Israel anasema, ikiwa wanarudi tena, watarudi kwa nguvu kubwa zaidi
Anasema Israel ina mkono mrefu unaofika Tehran na popote ndani ya Iran, hivyo hakuna popote pa kujificha ndani ya Iran
20250710_182835.jpg
 
View attachment 3400517
Huyu jamaa naona anaendesha vita kukwepa tuhuma zake za ufisadi na kuondoka madarakani.
Soon ataiangamiza Israel asipoangalia.
Yani matendo yake ya kutapa tapa sana,hata Golda Meir ni mwanamke na alimshinda kwenye busara na hekima ya uongozi.
Huyu ataliangamiza taifa.
 
Ngoja tusubiri mkuu, maana inaonekana anapenda vita
 
Hizo vita ni kujibakisha madarakani tu na kukwepa tuhuma za ufisadi.
Na ukitizama sasa hivi unaona kabisa kaka matendo yake ni ya mtu desperate kabisa.
Nchi hata iwe na uchumi mkubwa vipi haiwezi kuanzisha vita juu ya vita.
Anapigana vita tatu kwa wakati mmoja.
USA yenyewe haijawahi fanya hivyo.
Anaiangamiza nchi huyu kwa kutapatapa kwake,na Israel raia walioondoka wanasema hawana mpango wa kurudi.
 
Hata hivyo Netanyahu akiamua yeye hawezi kuwa na sauti ya kukataa
 
Huyu jamaa naona anaendesha vita kukwepa tuhuma zake za ufisadi na kuondoka madarakani.
Soon ataiangamiza Israel asipoangalia.
Yani matendo yake ya kutapa tapa sana,hata Golda Meir ni mwanamke na alimshinda kwenye busara na hekima ya uongozi.
Huyu ataliangamiza taifa.
Wayahudi huwaambii kitu kuhusu Netanyahau, na kuwa wanasiasa wa Israel Netanyahau wanamuona mchumba... Omba sana hao wasishike hayo madaraka
 
Raia wengi hawampendi Netanyahu na wameshaandamana sana kumuondoa.
Maandamano mengi tumeyashuhudia yakitaka Netanyahu atoke madarakani.
Nahisi Kuna watu wana interest naye huyo Netanyahu.
Ila anaiangamiza nchi.
 
Kuna chama kunaitwa LIKUD haifai yaani NI wabinafsi na wanaroho mbaya kama wangekuwa madarakani wasingesita kutumia hata nuke 😀😀😀😀😀😀
 
Raia wengi hawampendi Netanyahu na wameshaandamana sana kumuondoa.
Maandamano mengi tumeyashuhudia yakitaka Netanyahu atoke madarakani.
Nahisi Kuna watu wana interest naye huyo Netanyahu.
Ila anaiangamiza nchi.
Israel ndio nchi pekee ya kidemokrasia na watu wake wana uhuru wa kutoa maoni hapo middle east bila hofu ya kwenda Jela.

Israel wanamfumo bora kabisa wa Siasa na unapaswa kuigwa kama mfano hawa kwa mataifa ya Kiafrika.

Israel wana mfumo wa kisiasa ambao mshindi hachukui kila kitu badala yake lazima uunde Serikali ya kitaifa kuongoza nchi, kwa hiyo hata asilimia 30% wakiwa hawamtaki Netanyahau atachukua asilimia zake na kwenda kutafuta asilimia 70% zingine na vyama na makundi mengine, na pia sio kwamba kuna mtu lazima awe waziri Mkuu ila mtu atakayekuwa wa kwanza kupata idadi kubwa ya watu ambao wako tayari kuunda Serikali
 
Twende kwa ayatollah
 
Sie tunaona na hiyo Israel tunaifuatilia.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali 80% ya raia hawataki kiongozi aliye madarakani(Netanyahu),lazima hapo kutakua Kuna manipulation inafanyika yeye kubaki uongozini.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali iliwalazimisha Jews orthodox kujiunga na jeshi ilhali ni kinyume na utaratibu wa orthodox Jews.
Tunaona na tunaifuatilia sisi sio watu wa kumeza nooop.
 
💥
Mmoja wa waandishi wa habari wa jeshi la Iran anasema kuwa Israel wanatumia majini na uchawi wa sayansi kufanya mashambulizi na assassination kwa viongozi wa Iran. Alimnukuu Ayatollah kuwahi kusema pia kitu kama hicho

Anasema pia wakati wa Vita hivi karibuni, pale Tehran waliokota baadhi ya karatasi ambazo zilikua na vipande vya alama za kichawi zenye maneno ya kiyahudi
Nilijua tuh hawa Israel watakua wanga na wachawi wabobezi
 
Yaani wew unapoelekea utaleta hadi habari za i ajali za barabarani uko iran alaf useme assassination attempt
Mkuu hii habari kwa ambao wapo hilo eneo wanasema ni drone imeshambulia, lakini mamlaka ya zimamoto wanasema ni gas explosion, mm unataka nibishie mamlaka? Au ilibidi nisiripoti walichosema mamlaka ya zimamoto?
Angalia hii video ya kilichotokea kwa majirani kwenye hilo jengo, wao wanasema ni drone
 
Attachments

  • 2025-07-11_01-08-24_0.mp4
    1.8 MB
Sie tunaona na hiyo Israel tunaifuatilia.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali 80% ya raia hawataki kiongozi aliye madarakani(Netanyahu),lazima hapo kutakua Kuna manipulation inafanyika yeye kubaki uongozini.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali iliwalazimisha Jews orthodox kujiunga na jeshi ilhali ni kinyume na utaratibu wa orthodox Jews.
Tunaona na tunaifuatilia sisi sio watu wa kumeza nooop.
Mnachuki hadi mnakuwa vipofu wa Hekima...

Siasa ya Israel ni mfano wa kuigwa na namna walivounda mfumo wa siasa wamehakikisha it is impossible or near to impossible kwa chama kimoja kuwa na majority bungeni badala yake kila chama kina fursa ya kuwa ndani ya serikali kama coalition na chama kimoja ambacho kinaweza kuwa kambi kuu ya upinzani bungeni.

Serikali ya sasa ya Israel inaundwa na vyama zaidi 4. Serikali iliyopita ya Israel moja ya vyama vilikuwa vyama vya Waislamu/waarabu
 
UZI huuu bado umekuwa pambio la Israel

Taarifa Netanyahu kasema ndege zipo Tayali mwanzo ivyo ivyo Taarifa anatoa kutoka Iran tu Iran anapigwa Iran anapigwa Iran anapigwa Iran anapigwa haaaaaaaaa hatari

mwisho wa Vita vimiji 13 ikiwemo Telaviv na Haifa imechakazwa vibayaaa sana !!

tuje sasa uko Iran ipo shwaliiiiiiii

vipigo vikali wanchi wa israel wanaandama kumtaka Netanyahu arushe taulo Ulingoni kwasasa picha nyingi zinafutwa !!

uyu mwamba anakwambia maandamano ya kumpinga Ayatollah yameanza miji mingi uko Iran !!

haaa sawa sio mbaya nanyinyi mjifariji kidogo mana majukwaa yamechafuka na kudundwa kipenz chenu !!

uku kutabaki chochoro yenu ya kufutia machonzi wapenzi kindaki ndaki wa taifa teule ila poleni sana !!

neno langu kwenu ili tu Netanyahu na Israel kwasasa ni ngumu sana kuanzisha Vita na IRAN !!

Kama kupiga iran zaid watategemea UGAID tu !!

Israel kashajijua ni mdogo sana kwa Iran kwasasa kinyume na mnacho kiwaza nyinyi kuwa Israel itaanzisha Vita ngumu Kwasasa!!

Kinyume chake ni Israel inawasiwasi mkubwa ikiwa Iran italekebisha mifumo yake ya Anga ikawa kama mwanzo na zaid ya mwanzo kunauwezekana Iran ndio itaanza Vita upya eneo ilo !!

ndio mana vikao uko Marekani vikao avishi inatafutwa mbinu kipindi ichi kuituliza Iran pengine kuna vikwazo itaondoshewa ili kuivuta ran ije tena kwenyemazungzo uko OMAN !!

Iran inaonekana nayeye ataki Israel ijipange upya ndiomana kwasasa Iran inaipiga Israel kutokea Yemen maeneo muimu ndio yanapigwa !!

jana uwanja wa ndege muimu zaid umepigwa tena sio kweli kuwa Israel imezuiya kombora.. waongo!!!

kwasasa ukweli ni Israel ndio ipo njia panda sio Iran !!

kwasasa Iran hakuna wakuwachokoza na ndio mana narudia Iran inaitwanga Israel kutokea Yemen !!!

Iran aina hofu yoyote tofaut na UZI hu unavyo wachanganya ingekuwa kweli !!

kiakilil tu Iran ingeacha alakati kwenye eneo ijipange upya !!

lkn tunajua bado Israel inapigwa kutokea YEMEN na Meli zinazamishwa pale bahari nyekundu !!

muwaombee kwasasa msiwaombe wao hapana muwaombeee wao wapite Salama kipindi ichi !!

mana ndio wamemwaga mafuta kabisa ktk eneo kushindwa kwa Israel ktk Vita vya siku 12 kunajidhiiilisha kivitendo Sababu Vita imesimama lkn Israel inaendelea kupigwa kama mwanzo kutokea YEMEN !!

kama Iran ingeshindwa manake kwenye mazungumzo ya kusitisha Vita Iran ingetakiwa kuwazuiya Yemen wasirushe makombora kutokea uko.!!

Lkn sote mashaidi Israel inaendelea kupokea makombora kutoka Yemen bado tu wajinga wanaamini Israel ndio kashinda Vita !!

Na Iran ndio imetupa taulo endeleen kujifariji ndugu zetu ndiomana tunawaacha mwendelee kufalijiana atuwaingilii kama leo basi tu imetokea kuwapa chai chungu kwenu poleni kidogo.
 
Mnachuki hadi mnakuwa vipofu wa Hekima...

Siasa ya Israel ni mfano wa kuigwa na namna walivounda mfumo wa siasa wamehakikisha it is impossible or near to impossible kwa chama kimoja kuwa na majority bungeni badala yake kila chama kina fursa ya kuwa ndani ya serikali kama coalition na chama kimoja ambacho kinaweza kuwa kambi kuu ya upinzani bungeni.

Serikali ya sasa ya Israel inaundwa na vyama zaidi 4. Serikali iliyopita ya Israel moja ya vyama vilikuwa vyama vya Waislamu/waarabu
Embu acha kuruka ruka kama maharage jikoni.
Pia acha mahaba niue mzee unazingua.
Narudia tena, Israel haina serikali ya kuigwa,kwanza walitakiwa kuwasikiliza raia ambao hawamtaki Netanyahu.
Pili hakuna nchi yenye demokrasia nzuri inalazimisha raia wake kuingia vitani.
Tumia ubongo wako hata kidocho.
 
Back
Top Bottom