SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥
Israel kutumia uchawi na majini kwenye Vita na kufanya assassination imekua mjadala mkubwa Tehran. Jana mmoja wa waandishi wa jeshi la Iran aliibua hoja hii

Nb: Pete hii yenye haya maandishi ilikua ya kamanda hajjizadeh aliyeuwawa na Israel
20250711_212549.jpg
 
View attachment 3402262
Hawa nao wanazingua sasa waajemi!
Uchawi na vita wapi na wapi!?
 
💥
Mbunge mstaafu wa Iran Mostafa Kavakebian akiwa kwenye kipindi cha television amesema jasusi wa Mossad mwananama Catherine Shakdam alilala na maafisa wa juu wa Iran wapatao 120,

Anasema kuwa raia wa Afghanistan hushutumiwa kuwa wengi ni mamluki, lakini Kuna mamluki wengi kwenye ngazi za juu za mfumo wa nchi

Anasema kuwa Catherine aliweza kupata hadi nafasi ya kuhudhuria vipindi vya kidini vya maafisa wa juu na kuweza kupata ukaribu nao

20250711_214039.jpg
 
Sie tunaona na hiyo Israel tunaifuatilia.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali 80% ya raia hawataki kiongozi aliye madarakani(Netanyahu),lazima hapo kutakua Kuna manipulation inafanyika yeye kubaki uongozini.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali iliwalazimisha Jews orthodox kujiunga na jeshi ilhali ni kinyume na utaratibu wa orthodox Jews.
Tunaona na tunaifuatilia sisi sio watu wa kumeza nooop.
Democrasia isiyoweza kumtoa mtawala madarakani ni sawa uchawa tu
 
💥
Pirouz Bashi mwandishi wa habari wa Iran, amekosoa ripoti ya jeshi la zimamoto kuhusu mlipuko uliotokea jana huko chitgar Tehran. Amesema kuwa jengo halikua na mfumo wowote wa gesi, hivyo mlipuko haukutokana na gesi
20250710_165604.jpg
 
💥💥
Israel imefanya assassination kwa mshirika mkubwa wa Hezbullah na Iran Mohamed Shoaib huko Nimriyah Lebanon, Alikua ni mstaafu wa jeshi la Lebanon, ambae alikua anafanya kazi na Hezboullah pia kushirikiana na Iran
20250711_221619.jpg
 
💥
Nyongeza ya taarifa kuhusu Mohammed Shoaib:
Mohamed Shoaib alikua kiungo wa kufanya magendo ya kuchukua silaha Iran na kusambaza sehemu mbalimbali za Lebanon na mpakani mwa Israel

Shoaib pia alikua akiandaa mashambulizi mbalimbali ya kigaidi dhidi ya raia aa Israel

Shoaib alikua akishirikiana na Makundi mbalimbali kuuza na kufanya magendo ya silaha nchini Syria na Lebanon
 
💥
Fayyaz Zahed mwandishi wa habari na mchambuzi wa television ya taifa ya nchi ya Iran anasema siku ya tukio la kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Iran, pamoja na makamanda wengine wakuu.

Anassm Mkuu wa majeshi salami ilipofika saa saba na nusu usiku, alijulisha baadhi ya watu kuwa Israel itashambulia muda wowote, na ilipofika saa tisa usiku wakashambuliwa ambapo mkuu wa majeshi salami alifariki hapo hapo.

Hadi kufikia saa kumi na moja alfajiri Kamanda Hajjizadeh alikua bado hajafariki, lakini baada akafariki

Fayyaz Zahed anataka uwajibikaji kwa idara za usalama za Iran pamoja na uchunguzi mkubwa ufanyike
 
Walikufa kizembe kabisa harafu kwa kujifariji na kujipa moyo wakasherehekea ushindi!! Hapo ndipo ujue Iran wana akili sana!!!!
 
Israel kuweza kutengeneza kiwanda cha kutengeneza Drones nchini Iran ili ziweze kusaidia kwenye mashambulizi yake hii inaonyesha ni jinsi gani Jeshi la Israel lilivyo mahiri katika nyendo zake.

Vivyo hivyo imeonyesha wazi ni jinsi gani Jeshi la Iran lilivyo la hovyo !!!

Walikuwa wapi mpaka Israel wakajenga kiwanda hicho,Kikaanza kufanya kazi ya kuzalisha hizo Drones? Hii inaonyeaha wazi wazi ndiyo maana Makamanda wake waandamizi akiwemo Mkuu wa majeshi waliuwawa kizembe kwa siku moja .

Harafu anatokea kichaa mmoja anasema Iran aliishinda Israel kwenye vita!! Mtu huyo Milembe Hospital inamhusu!!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    1.6 MB
💥💥
General Mohamed Pakpour ametangaza kifo cha Hojjat al-Islam Sheikh Ali Taeb, mwakilishi wa Sarallah Headquarters Tehran. Mwakilishi wa Ayatollah
20250712_003629.jpg
 
Hizo vita ni kujibakisha madarakani tu na kukwepa tuhuma za ufisadi.
Na ukitizama sasa hivi unaona kabisa kaka matendo yake ni ya mtu desperate kabisa.
Nchi hata iwe na uchumi mkubwa vipi haiwezi kuanzisha vita juu ya vita.
Anapigana vita tatu kwa wakati mmoja.
USA yenyewe haijawahi fanya hivyo.
Anaiangamiza nchi huyu kwa kutapatapa kwake,na Israel raia walioondoka wanasema hawana mpango wa kurudi.
Netanyahu alikuwa anaivuta US kuingia vitani na Iran, Netanyahu anatumia nguvu na kumshawishi sana Trump kuivamia Iran, lakini kwa sasa hata wananchi wa US wenyewe hawataki vita a Iran propaganda zake za early 2000s za kuivamia Iraq zilifanikiwa lakini sasa ni kama ngoma imekuwa nzito.....

Wamarekani wenyewe wanakuambia Israel ijipambanie yenyewe na US ijitoe kwenye IPAC....

Neta kamshawishi sana US na bado anamlilia US aingie vitani, Trump kumridhisha katuma B-2 ambazo hazijafanya chochote... halafu akaomba ceasefire....

Israel haina uwezo kupambana hizo vita zote wakati mmoja...
 
Back
Top Bottom