SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Video footage: mlipuko mkubwa umetokea eneo la Qom
 

Attachments

  • 2025-07-14_13-20-10_0.mp4
    735.5 KB
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Video footage: mlipuko kwenye moja ya jengo eneo la Qom
 

Attachments

  • 2025-07-14_13-29-37_0.mp4
    1.2 MB
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Governer wa Qom, anasema watu wawe na utulivu mlipuko hauhusiani na shambulizi lolote
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Video footage: athari ya mlipuko mkubwa uliotokea eneo la Qom
 

Attachments

  • 2025-07-14_13-36-42_0.mp4
    1.8 MB
๐Ÿ’ฅ
Taarifa ambayo sio rasmi ni kuwa zinafanyika assassination attempt, Walengwa ni kina nani bado majina hayajajulikana
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Moto mkubwa kwenye moja ya jengo mtaa wa Enghalab - Tehran
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Video footage: fire kikosi cha uokoaji wakihangika kuzima moto uliotokea kwenye moja ya jengo mtaa wa Enghalab - Tehran
 

Attachments

  • 2025-07-14_13-46-05_0.mp4
    30.2 KB
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Video footage: Baada ya mlipuko huko Qom, athari iliyotokea
 

Attachments

  • 2025-07-14_13-49-56_0.mp4
    610.5 KB
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Moto mkubwa eneo la karibu na Roshandalan Bridge. Vikosi vya uokoaji na zimamoto vimeelekea eneo la tukio
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Mlipuko mkubwa eneo la kusini mwa Shiraz kwenye barabara ya Isfahan
 
Wataikataa hadi hiyo kauli ya Netanyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ