SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Muda mchache uliopita mlipuko mkubwa umetokea mji wa Tabriz barabara ya Shahid kasaei
 

Attachments

  • 2025-07-14_18-30-19_0.mp4
    2 MB
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: muda mchache uliopita mlipuko mkubwa eneo la Karaj
 

Attachments

  • 2025-07-14_18-37-32_0.mp4
    2.3 MB
πŸ’₯πŸ’₯
Reza Amini mhandisi wa wizara ya ulinzi ya Iran, mwili wake umetambuliwa baada ya kufuatiliwa na kuuwawa kutokana na mashambulizi ya Israel.
 
πŸ’₯πŸ’₯
Ismail Qaani kamanda wa jeshi la Iran amehudhuria hafla ya kumbukumbu ya vifo vya makamanda 30 wa jeshi la Iran ambao waliouwawa kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran
 
Picha zimetoka zikionyesha kambi ya jeshi la US al udeid iliopo Qatar ikiwa imelengwa radar iliyokuwepo kambini hapo na kubaki majivu huku patriot zikifeli kuzuia shambulizi hilo..

Radar hio yenye thamani ya usd 15 million iliwekwa 2016, na ni radar iliyokuwa ikitumika na jeshi la US eneo la mashariki ya kati kwa mawasiliano na kupokea command kutoka nyumbani...

Kwa hio pinpoint na accuracy ya hilo kombora nadhani ho radar ilikuwa muhimu sana kwa US army hayo maeneo...

source....business insider..
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Muda mchache uliopita katika mji wa Tabriz, jeshi la Iran likipambana kuangusha suicide drones ambazo ziimetumwa kufanya shambulizi.
 

Attachments

  • 2025-07-14_23-47-58_0.mp4
    197.7 KB
πŸ’₯
Jeshi la Iran muda huu linaelekea eneo la Qara darvish khoy ambapo inaripotiwa kuwa kuna drones zimeruka kutokea eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…