π₯π₯π₯π₯
Kufuatia mgogoro mkubwa wa maji na umeme ambao unaendelea nchini Iran, usiku huu wananchi wameandamana sehemu mbalimbali kwenye ofisi za serikali
π₯π₯π₯
Video footage: huyu ni mfugaji/mfanyabiashara wa kuku ambae alienda hadi kwenye ofisi ya shirika la umeme na kuamua kuwatupia kuku wake waliokufa kutokana na kukosekana kwa umeme