SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Makao Makuu ya IRGC pametokea mlipuko mkubwa sana!!
 

Attachments

  • VID_20250723_223910_067.mp4
    1.3 MB
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Iran limetangaza kifo cha kanali Javad Narenji
 
Mkuu hii mbona ni obvious kwa nchi ambayo imetoka imetoka vitani na tension ya vita bado iko juu!
Tuonyeshe na soko la hisa la Israel kwa wakati huu (Au habari yake haina mwendelezo?)
Mkuu Israel kwa Sasa soko la hisa linafanya vizuri na linakua kwa kasi kubwa ni one of the fastest in the world. Sikutaka kuiweka hii habari sababu tu kuondoa ubishani
 
Asa kma yamekauka inahusika vipi na vita? Leta izo za milipuko na ma assassination.vinginevyo badili kichwa Cha Uzi muandike Yanayojiri Irani
Kwa maelezo ya wananchi wanadai, Vita imefanya serikali imekua dhaifu kiasi cha kushindwa kusimamia huduma muhimu kwa sasa. Ndio maana nimeleta hizo habari
 
Mkuu Israel kwa Sasa soko la hisa linafanya vizuri na linakua kwa kasi kubwa ni one of the fastest in the world. Sikutaka kuiweka hii habari sababu tu kuondoa ubishani
View attachment 3416906
Asante kwa jibu lako zuri na uvumilivu wako kwa tunaohoji sana taarifa za upande mmoja unaotoa. Ila naomba niseme kwamba huwa siviamini sana vyombo vya habari vya West/Us sababu ya kutulisha matango pori kwa kipindi kirefu. How come nchi itoke vitani, wananchi walikuwa wanakimbia kuhama halafu ghafla soko la hisa liendelee kupaa? Hapa tunahitaji taarifa za kina au ushaidi zaidi.

Pili, weka screen shot ya soko la hisa la Israel kama ulivyoweka la Iran ili tuhakikishe wenyewe badala ya kuleta taarifa ya kuambiwa na gazeti la upande pendwa.

Shukrani sana mkuu.
 
Unamanisha soko limeshuka alafu wao wanasema limepanda?
Hawa ni Al Majalla ni waarabu wa saudia Arabia. Nao wanasema stock market inafanya vizuri(booming)


Hii chini ni chart ya stock market
 
Oooh nilisahau una watu Tehran na viunga vyake
Ni kweli, watu Tehran ninao, ni ngumu kutokea chochote nisifahamu

Huu ni mlipuko umetokea muda mchache uliopita Andisheh-Tehran, lakini sikuiweka hii taarifa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: mudu wananchi wa salahiyeh - Tehran wanajikusanya kufanya maandamano kwa ajili ya kukosa maji na umeme
 

Attachments

  • 2025-07-24_21-23-23_0.mp4
    376.3 KB
πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: giza limetawala jiji la Isfahan kutokana na tatizo kubwa la umeme linaloendelea Iran
 

Attachments

  • 2025-07-24_21-53-28_0.mp4
    2.9 MB
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Mlipuko mkubwa umetokea muda huu eneo la garmdarreh Karaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…