SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Je Iran Hadi muda huu amefanikiwa Jambo gani la kimkakati ndani ya Israel?
Nenda twiter pale andika tusi kuitusi Iran, post itaenda hewani, ila andika tusi same kuitus Israel hiyo post haitotoka katu, kama unavyoona Bongo ukandamizaji wa habari ni same na Israel kwenye media ulimwenguni, ni rahisi sana media kuiandika negative Iran mpaka Gaza ila nu marufuku kuiandika vibaya Israel.

Inshort Israel anakupangia cha kusikia na kuandikiwa.
 
Toka alivyouwawa Ismail Haniyeh kwenye kambi ya jeshi ya Iran ilitosha kujua tu kwamba wapo uchi
 
Si mlisema kakimbia Israel?
Utawaweza hao source za tarifa zao twitter ni kina
Sulaiman Ahmed
Jackson Hinkle
Iran observer
Adam
Na Pro Iran wengine wakiona kitu wamepost Wana ruka nacho Kama ndio ukweli

Yes kuna account twitter zipo neutral zina post pande zote mbili ukiwa analysts lazima ufanye confirmation kwenye media kubwa na source zinazo aminika
 
Rais wa marekani Donald Trump aupa kura ya turufu mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu wa taifa la Iran bwana Ayatollah Khamenei.

Jambo lolote kubwa litegemewe toka sasa kutokea hasa katika viunga vya Tehran ama Tel Aviv
 
Hizi missile zinazohut Tel Aviv na Haifa zinarushwa kutoka launcher ipi?
 
Rais wa marekani Donald Trump aupa kura ya turufu mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu wa taifa la Iran bwana Ayatollah Khamenei.

Japo lolote kubwa litegemewe toka sasa hasa katika viunga vya Tehran ama Tel Aviv
kushangilia vifo sio jambo linalofaa.

no reforms, no election!

#free Lissu#
 
Halafu kaka Iran mnavyomchukulia Wala sivyo hivyo.
Iran Hana ukichaa huo mkuu.
Na kama unataka ushahidi naweza kukuletea ya matukio mengi ambayo Iran alivumilia kwa busara zake licha ya alidhulumiwa.
Hamas
Hezbollah
Houth
Islamic jihad and others proxy apo middle East
Mfadhili wao ni Iran anagawa silaha na mafunzo ya kijeshi anagawa ballistic kama pipi lengo ni moja futa Israel

Huyu akiwa na nuke lazima awagawie Houth na Hezbollah na wote tunajua akili za wanamgambo hawaogopi kukiwasha maana hawapiganii nchi yao bali imani na maslahi yao
 
Rais wa marekani Donald Trump aupa kura ya turufu mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu wa taifa la Iran bwana Ayatollah Khamenei.

Jambo lolote kubwa litegemewe toka sasa kutokea hasa katika viunga vya Tehran ama Tel Aviv
Inasikitisha sasa, mtu anaamua uishi ama usiishi.
 
Na Iran specifically amesema scientist wake wamechomwa na IEA chombo ambacho kilitakiwa kuwa Neutral, Iran ameshatangaza kujitoa na hataki tena kukaguliwa atafanya anachotaka yeye, so it's up to them kumbembeleza Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…