SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hii vita mkuu imeshaingiliwa na propaganda.
Walidai kuwa Foreign ministry ya Iran iliifuata Qatar kuomba mediation,Iran foreign minister akakanusha hiyo taarifa.
Propaganda zishakua nyingi kwenye hii vita.
Safari hii mtanyoka tu!, Mediation ya nini mwambie Ayatollah apambane tu si alikuwa Anajidai kuifuta Israel? Sasa Israel imemshambulia na kuwaua makamanda wake 30+ tuone sasa Israel ataifutaje!!!

Wajinga wengi sana wamekuwa wakiwasifia kumbe wanasifia debe tupu!!! Sasa hivi israel inajipigia tu na Iran sasa hivi wanaweka vituo vya kurusha makombola kwenye maeneo ya kiraia ili tu Israel ikishambulia waanze kulialia kuwa Israel inapiga maeneo ya Kiraia ili kuficha ujinga wao ambao wao wenyewe ndiyo wanapiga majumba ya kiraia huko Israel
 

Attachments

  • AVENIR-8.mp4
    9.3 MB
Mk
Rais wa marekani Donald Trump aupa kura ya turufu mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu wa taifa la Iran bwana Ayatollah Khamenei.

Jambo lolote kubwa litegemewe toka sasa kutokea hasa katika viunga vya Tehran ama Tel Aviv
Mkuu hii Kura ya veto imepingwa na watu wote nchini marekani kwasababu bado imebakia ni speculation wengine wanasema ni propaganda Tu hii.
Ila kama ni kweli hii ishu basi utawala wa Iran umefika mwisho kwasababu mpaka muda huu kuna vyama mbalimbali vya upinzani wameitisha maandamano ndani ya iran wakihamisha wananchi kuandamana na kuondoa utawala wa ayatollah uondoke madarakani kumbuka vituo vyote vya polisi vya Tehran vimepigwa vyote yaani kwakifupi itakuwa rahisi Kwa USA kuweka pandikizi
 
Unakosea kaka.
Kabla Iran hajawa adui wa Israel alikua rafiki mkubwa wa Israel,na kiintelijensia vita ya 1980 Israel ndiye aliyekua anamsaidia Iran hadi akashinda.
Silaha za mwisho za mwaka 1980 Iran alinunua Israel.
Baada ya 1988 uadui ukazuka.
Uliwahi kujiuliza uadui ulizukaje?
Hamas wameanza kufadhili na Iran miaka ya hivi karibuni ili Iran iizubaishe Israel na USA kwenye kuifuatilia.
Vivyo hivyo Hizbollah na Houthi.
 
Netanyahu kasema uwezekano upo wa mabadiliko ya utawala wa Iran baada ya mashambulizi ya jeshi lake.
 
πŸ“ˆ Operation Rising Lion: Key numbers as of June 15, 14:00.

Over 270 rockets launched, 22 impact sites identified. 14 people killedβ€”including 3 childrenβ€”and 390 injured across Israel.
 
Huyu mkuu wa Usalama wa Iran ni ng'ombe kabisa. Ni livivu na lijinga tena lilikuwa na msaidizi wake.

Hapa sasa ndio tunaona ubaya wa kutumia machawa kwenye nafasi nyeti. Sasa mkuu wa Intelligence wakati wa vita unakaa ofisini na msaidizi wako hujui hiyo ni legitimate target?

Mkuu huyohuyo ndio kashindwa kutambua mamluki wa Kiyahudi ndani ya Iran, kashindwa kulinda viongozi wa kinyuklia na kijeshi wanarundikana sehemu moja kama kumbikumbi.

Iran wanazidiwa na Hamas, bora maafisa wa Hamas walianzisha fujo wakajificha kwenye mahandaki na kwanza hawakuwa na ofisi rasmi kabla hata ya vita. Utawapata ila kwa mbinde bora wamejaribu wakaishiwa uwezo. Sasa hawa Iran unakuta ofisa anazurula kama mfugaji. Ina maana hawana fortified bunkers, bora uuliwe kwenye bunker tuseme Israel katumia bunker buster imezidi hardened reinforced concrete ya Iran ambayo ni one of the best in the world. Sasa mnakaa kwenye ofisi inajulikana kabisa ina bendera na mabango kisa ni Jumapili sio siku ya kazi.

Very useless chawa wa Ayatollah. Ukute kuna maofisa wanajua ila chawa kawekwa hapo
 
Kunawaka moto TUOMBEE AMANI
 

Attachments

  • Screenshot_20250615-200427.png
    496.6 KB · Views: 22
Ayatollah ndo sababu
 
Kambi yenyewe imetoka shambuliwa mda huu haipo tena
 
Kwani uanamke unamzuia kuwa mwanajeshi tena vita yenyewe ya anga au ni ushabiki tu?

Makomando waliokuwa wanamlinda Gaddafi walikuwa wanawake, makomando waliokuwa wanamlinda Fidel Castro walikuwa wanawake

Issue kubwa ni mafunzo sahihi na accuracy ya mtu husika.
Hii ni dharau au ni nini?mpaka sasa nakosa majibu? Why mademu? Why? Maana yake nini? Hii si ni kuonesha mazarau? Na je anga la Irani halina ulinzi kabisa?


View attachment 3370019
 
Hizo missile launchers mnazodai zianharibiwa ni zipi?
Mbona Iran inapata uwezo wa kushambulia tena?
Embu punguzeni propaganda.
 
🚨 Breaking: IRGC general eliminated in Tehran an hour ago by gunfire at close range

Israel's agents are operating on the ground within Tehran.
 
Waambie na Iran nao wafanye mipango ya kutengeneza silaha za Nuclear kisirisiri kama walivyofanya Israel!!!

Nimeshakuambia Iran hatakiwi kuwa na silaha za Nuclear kwa sababu ya ukorofi wake wa kutaka kufadhili magaidi na TANGAZO Ε‚Δ…kΔ™ la kuifuta Israel kwa sababu hizo Dunia haiwezi kumpa kichaa rungu!!!!!

Israel Ina haki kuwa na silaha hizo kwa sababu ya kujilinda maana inatishiwa na majiranizajirani zake na Iran ilishatangaza kuifuta nchi hiyo hivyo Nuclear kuwa nayo ni sawa kabisa ili kuwa komes ha wahuni hao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…