Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vilaza kwenye huu uzi ni wengi sana, wanaandika ujinga na tambo za walevi kwa kiwango cha lami.
Naona kakimbia hataki kutoa jibu. Wamekaririshwa mapicha ya silaha za Russia wakati kwenye matumizi on the ground hakuna impact yoyote. Hizi wanazoziita hypersonic zinazidiwa uwezo na madhara na Tomahawk Missile za U.S.
 
Sawa tunakubali, sasa Nato si aingie Ukraine kumpiga mrusi, anachelewa nini? Sisi tumechoka na ubabe wa Putin. Aingie vitani directly maana vita ni uchumi
 
Jinga Sana hilo jamaaa
 
Nimekuuliza hizo hypersonic za Supapawa wa mchongo zimeleta madhara na matokeo yapi kwenye vita ya Ukraine? Sijakwambia nani anazo nani hana.
Braza, kwanini US na Nato wanatuangusha? Waingie mzigoni pale ukraine. Rais wetu Zelensky ameomba msaada mara ngapi? Ametaka no fly zone mara ngapi? Imefika hatua anasema eti nato ni waoga! Tushinikize humu mitandaoni Nato waingie mzigoni

Muhuni Putin amezidi uchokozi. Mambo ya uchumi mkubwa, sijui silaha kali, mara vikao tumechoka. Mda umefika waingie mzigoni. Au unasemaje braza.?
 
Ukikua utaacha
 
Haya mapicha picha yenu tushayazoea,lakini mkija kwenye vita halisi ni wepesi kama karatasi,Russia supapawa wa mchongo katupa jibu.
Nenda nawe kajipange kwenye msururu wa foleni huko Ukraine upatiwe msaada wa kibox cha chakula na maji ya Uhai, kama wenzako waliozingirwa kwa mwezi sasa na wakachakazwa sawasawa na majeshi ya Russia


 
Nimekuuliza hizo hypersonic za Supapawa wa mchongo zimeleta madhara na matokeo yapi kwenye vita ya Ukraine? Sijakwambia nani anazo nani hana.
Si uliniona ile mall iliyogeuzwa kuwa ghala ilivyochakaa si uliona lile handaki lilivyochibwa na kuteketeza siraha chini ya ardhi haya mabomu hupigwa mara chache yakiangushwa kama mvua hakuna wa kubaki huko hypersonic sio manati hayo yanauwa braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…