Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO na Russia hawawezi kuingia kwenye vita Kwa Sababu wenyewe hawataki dunia kufika mwisho wote wanasila hatari.
 
Taarifa hii ikitolewa na BBC, CNN, ALJAZEERA na FRANCE 24 HRS mnifate ICU maana nimepata mshtuko sana kukosa hii habari hadi sasa hivi kupitia hizo midia[emoji15][emoji849][emoji87]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
🇮🇩Indonesians largely support Russia's operation in Ukraine and approve of the leadership of Russian President Vladimir Putin, Russian ambassador to Indonesia Lyudmila Vorobyova tells Sputnik.

For Indonesians, Russia serves as an example of a country on a path to reaching inter-ethnic and inter-faith harmony, Vorobyova notes.

Earlier in the month, Indonesian social monitor Evello published a report showing that Indonesian netizens strongly support the Russian operation in Ukraine, attributing this fact to the strong anti-NATO and anti-US public sentiment in the country.
 
Brazilian Foreign Minister Carlos Alberto Franca has spoken out against Russia’s expulsion from international organizations.

"Brazil has been clearly against these initiatives [to terminate or suspend Russia's membership] in accordance with its traditional principles in support of multilateralism and international law," he was quoted as saying by Brazil's R7 television network.
 
Russia Ajumlishe kwenye invoice ya atakacholipia uharibifu hiyo ni invoice yake a jumlishe hicho alichobomoa
 
Nina wazo moja. Kwa kuwa vita inaendelea Ukraine ila sisi tunavutana hapa jukwaani tupange kesho kambi ya Urusi na Ukraine tukutane ofisi za Jamii Forums tuchapane ngumi ubishi uishe.
[emoji23][emoji28] dah hii nchi sihami!

wabongo washaununua huu ugomvi wa Urusi na Ukreine inawezekana kabisa wakafika mapema sana asubuhi ofisi za jf.
 
Hii kuzungukana ni mambo ya zamani Russia anatuma Tu nuclear weapons moja Kwa moja kwemye miji yote ya ulaya mpaka marekani huku wakiwa wamekaa cremlin.Na hawakosi target wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…