NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
It is impossible to achieve peace by endangering the same peace for others.10:30 a.m. President Volodymyr Zelenskyy says that Ukrainians "need to achieve peace" and halt the Russian bombardment that has forced millions to flee to countries like Poland, where U.S. President Joe Biden is due to visit and witness the crisis first hand. Appearing exhausted in a brief video address early on Friday, Zelenskyy said he had made appeals to Western leaders "all for one reason -- so that Russia understands that we need to achieve peace. Russia also needs to achieve peace."
Nchi nzima ina depot moja ya mafuta?Russia walichelewa sana kulipua hii depot ya mafuta kama ndo ilikua inasuppy kwa military..... hapo ndo wamepiga kwenye mshono maana logistic za kijeahi zitaathirika.
Ndo maana Zelesky alikazania sana awekewe "No fly zone"
Hizo ni propaganda, huyo Jenerali Mikhail Mizintsev ni mnyama kabisa kwani yeye ndiye aliyeamuru kupigwa bomu kwa Martenity Ward pamoja na ule ukumbi. Huyu bwana ana ile silika ya kirusi ya ukatili, lazima atapelekwa mahakamani The Hague akashitakiwe kwa uhalifu wa kivita.Captured Ukrainian soldiers are kept in decent conditions, according to international standards, said Mikhail Mizintsev, head of the National Defense Control Center of the Russian Federation.
At the same time, he stated that the Ukrainian authorities grossly violate elementary humane norms, the requirements of the Geneva Conventions regarding the treatment of prisoners of war.
Galip SV Liwagu View attachment 2164138
Mkuu umesoma vizuri hapo juu au kiingereza chako ulisoma darasa moja na mwendazake? Hiyo missiles iliyoripua hicho kituo cha mafuta ilitokea baharini, ina maana kwamba russia kwenye ground wameshindwa sasa utaratibu wao ni kurusha makombora huko walikojificha baharini., lakini dawa yao ni wiki hii hii kuna mizigo toka UK idadi yake ni 6000, ata uko baharini hakutakalika tena watarudi kwao kabisa russiaUkraine SI wamesema wamezamisha meli ya Russia , kumbe wao ndio wamechapika Tena
sent from HUAWEI