Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kosa kubwa la urusi ilikuwa ni ku under-rate ubora wa kivita wa Ukraine kwa ujumla wake yaani..vifaa, mbinu na manpower.

Hii ni fundisho kwa watemi wengine duniani kwamba huwezi ku survive kama utakwenda kinyume na mataifa ya magharibi na US.

Bado huyo dogo (aka a rocket kid) anayepima makombora yake eti ya bara kwa bara..dawa yake inachemka.
 
Wanapeleka silaha na kuweka vikwazo. Hawataki kupoteza muda watatoa kipigo cha nukes
 
Are you really serious,hivi unajua in all this commotion even your own life is at stake!Aisee,kweli nimeamini,ni bora mtu akunyime mali,lakini akupe akili.
Usiogope bomu la nukes litakalopigwa pale kiev ni la kg chache. Madhara hayatakua makubwa, lengo ni kuwaweka west kwenye mstari sawa maana now they cross the red lines
 
Kwani lengo la Russia kuivamia Ukraine lilikuwa ni nini?
 
kwann wapige hilo bomba la gas?
Si wamkomeshe Russia, kwa maana wameambiwa anayetaka gas anunua kwa rubble inaonekana hawataki chini ya shinikizo la US.

Wanapeleka vikosi, pesa na silaha kuifadhili Ukraine ili kumpiga Russia, sasa kwa nini wasipige tu hilo bomba kuonyesha kwamba hawataki tena mazoea na Russia.

Ndio maana nasemaje Ulaya bado wanaamini katika mazungumzo na Russia.
 
Qatar will not be able to help Europe with gas supplies now, there is no alternative to Russia at this stage, said Saad bin Sharid al-Kaabi, State Minister for Energy of the Emirate.

🤣🤣🤣 US haifikii Qatar kwa reserve ya gas lakini anawaambia wasijali atawahudumia.
 
Hapo ndio pazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapewa Rais kichaa, pale Korea lazima tu patawaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China negotiates secret deal in South Pacific – media

China has reportedly negotiated a secret security pact with the Solomon Islands, setting off alarm bells in the US and Australia because of the potential for Beijing gaining a South Pacific beachhead from which it could block shipping traffic.

Chinese and Solomon Island officials are close to signing the agreement, the New York Times reported on Friday, citing documents leaked by opponents of the deal. If completed, the pact would give Solomon Islands Prime Minister Manasseh Sogavare the ability to call on China for protection, such as in cases of civil unrest. Beijing would be given rights to dock warships and access “all necessary facilities” on the islands.
 
Kwani lengo la Russia kuivamia Ukraine lilikuwa ni nini?
Kuizuia Ukraine kutokuwa karibu na mataifa ya magahribi..na kuzuia uwezekano wa yeye kujiunga na NATO.

Sasa tunaamini wakati wa ujenzi wa Ukraine mpya tayari Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.

Kifupi warusi walikuwa na silaha za kizamani, mbinu za kilong time na jingine ni kwamba warusi wenyewe hawakuwa united kuhusu uvamizi huu, sasa haya yote ndiyo yameifanya vita hii kuwa mzigo kwao.

Pole Putin, kwa sasa dunia imekuona wewe huaminiki tena, ukitoka urusi tu wanakudaka kwenda the hegiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…