Chawa la NATOAMERICAKuizuia Ukraine kutokuwa karibu na mataifa ya magahribi..na kuzuia uwezekano wa yeye kujiunga na NATO.
Sasa tunaamini wakati wa ujenzi wa Ukraine mpya tayari Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.
Kifupi warusi walikuwa na silaha za kizamani, mbinu za kilong time na jingine ni kwamba warusi wenyewe hawakuwa united kuhusu uvamizi huu, sasa haya yote ndiyo yameifanya vita hii kuwa mzigo kwao.
Pole Putin, kwa sasa dunia imekuona wewe huaminiki tena, ukitoka urusi tu wanakudaka kwenda the hegiii.
Wewe unapingana na kauli ya Waziri Ulinzi wa Urusi? au ndiyo mahaba niue ?Chawa la NATOAMERICA
HaweziHivi kwann Urusi naye asimuwekee vikwazo US?
Uchumi wa Marekani peke yake ni mkubwa mara 20 zaidi ya Uchumi wa Rusia. Ukiunganisha uchumi wa China, India na Russia kwa pamoja bado hazifikii uchumi wa USA kwa ukubwa wake, hawa wote mshirika wao mkubwa biashara ni USA au EU sasa watakataa kutumia dola kwa sababu gani?? Sijazungumzia mataifa karibia yote duniani, na wafanyabiashara wote wanapenda na wanalazimika kweka reserves na akiba zao katika US dollars. Russia anafanya vitimbi vya kitoto tu, anapambana na superpower halisi.Hivi kwann Urusi naye asimuwekee vikwazo US?
Kaweka vikwazo kasema Gesi na Oil yake ni lazima.inunuliwe kwa hela ya Kirusi...Hawezi
Kaka kwa kauli hii subiri matusi. Watu hawajui kwamba uchumi wa Urusi hasa hasa unategemea uuzwaji wa gesi na oil katika nchi za magharibi hasa Ujerumani.Uchumi wa Marekani peke yake ni mkubwa mara 20 zaidi ya Uchumi wa Rusia
Hapa atakuwa wanawatishia Ulaya, US mafuta yake mengi na gesi yake nyingi anachukua Mexico, Canada na Uarabuni.Kaweka vikwazo kasema Gesi na Oil yake ni lazima.inunuliwe kwa hela ya Kirusi...
Amesahau kwamba alisaini mikataba kwa malipo ya Uero na USD.
Putin kajikaanga mwemyewe.
Mie pamoja na umaskini wangu na trade nankuweka akiba kwa USD.Dollar ni pesa isiyoyumba kama mlevi, Ni currency stable
Kaweka vikwazo kasema Gesi na Oil yake ni lazima.inunuliwe kwa hela ya Kirusi...
Amesahau kwamba alisaini mikataba kwa malipo ya Uero na USD.
Putin kajikaanga mwemyewe.
duh nyie watu banah! sasa km hawataki kununua gas kwa ruble ndio walipue bomba la gas?? mbn havihusianSi wamkomeshe Russia, kwa maana wameambiwa anayetaka gas anunua kwa rubble inaonekana hawataki chini ya shinikizo la US.
Wanapeleka vikosi, pesa na silaha kuifadhili Ukraine ili kumpiga Russia, sasa kwa nini wasipige tu hilo bomba kuonyesha kwamba hawataki tena mazoea na Russia.
Ndio maana nasemaje Ulaya bado wanaamini katika mazungumzo na Russia.
Putin kachoka..ukichanganya na afya yake...Kuizuia Ukraine kutokuwa karibu na mataifa ya magahribi..na kuzuia uwezekano wa yeye kujiunga na NATO.
Sasa tunaamini wakati wa ujenzi wa Ukraine mpya tayari Ukraine atakuwa mwanachama wa NATO.
Kifupi warusi walikuwa na silaha za kizamani, mbinu za kilong time na jingine ni kwamba warusi wenyewe hawakuwa united kuhusu uvamizi huu, sasa haya yote ndiyo yameifanya vita hii kuwa mzigo kwao.
Pole Putin, kwa sasa dunia imekuona wewe huaminiki tena, ukitoka urusi tu wanakudaka kwenda the hegiii.
kwanin asiweze? si amebann ndege zao kwe airspace yake si vikwazo hvyo? kikwazo ni kikwazo ht ukizuiwa kununua embeHawezi
mkataba wa minsk unahusianaje na sarafu itayoumika kununua gas? tuelimisheWamesahau comedian walisaini mkataba wa misky jielimishe
Mie pamoja na umaskini wangu na trade nankuweka akiba kwa USD.
USD ni currency ya dunia utake usitake, yaani ni hivi ukifika kokote duniani kamawa na USD mfukoni my friend your safe 100%.
Afu inafuatia Euro. Sasa tembea na helanya mrusi ukome..utalala njaa...ha ha [emoji1] [emoji1787]
Mbona wao wanavunja mikataba mingi tuu kwa kuweka vikwazo ambavyo havina uhalali ......Kaweka vikwazo kasema Gesi na Oil yake ni lazima.inunuliwe kwa hela ya Kirusi...
Amesahau kwamba alisaini mikataba kwa malipo ya Uero na USD.
Putin kajikaanga mwemyewe.
Hata kutoa misaada ya silaha kuipiga Russia at the same time mnataka kufanya nae biashara we unaona vinahusiana?duh nyie watu banah! sasa km hawataki kununua gas kwa ruble ndio walipue bomba la gas?? mbn havihusian
Urusi wamerudi nyuma miaka kumi kwa vikwazo hivi...Benki kuwa ya Russia yenyewe ilikuwa imeweka sehemu kubwa ya akiba yake nje ya nchi kwenye USD kiasi cha billion 630 katika benki mbalimbali Ulaya na sehemu nyingine duniani, nazo zimekula sanctions.