Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kanali wa Urusi ameuawa na Wanajeshi wa brigade anayoiongoza baada ya kujaribu kukimbia kambi. Wanajeshi hao wamemuua sababu kwenye brigade hiyo wanajeshi wengi wameuliwa na Jeshi la Ukraine.
 
Russia anaipiga Ukraine....hana mwingine
 
Ww jamaa unajitia mjuaji lakini ni ziro.

Kwahiyo Ulaya pekee ndio kuna wanunuzi.

Asilimia 80 ya gesi ya Qtaar inauzwa barani Asia ni asilimia 20 tu ndio inauzwa Ulaya.
Hata nchi za magharibi zikiisusia gesi ya Urusi usitegemee itakosa wateja.
 
The Russian embassy in Prague was doused with artificial blood.

Earlier, due to the growing level of Russophobia, a note was sent to the Czech side with a request to take action.

Acts of vandalism against Russian embassies have recently become more frequent. In Estonia, unidentified people smeared paint over a sign on the building of the diplomatic mission and part of the historical facade.

And today, a monument to Admiral Ushakov was desecrated on the Greek island of Corfu.
Galip SV Liwagu
 
NATO wangekua wanatumia mihemko Kama yako sizani Kama muda huu ungekua unaandika humu huu utopolo
 
Russia atapigana na watu wangapi sasa
 
'Reality is relative'

Jeshi la Russia limeendelea polepole!? In relation to what!? Ilitakiwa pace iwe ya kiasi gani ndio useme sio polepole!? Ni lini tumewahi kuona nchi yenye size ya Ukr tena ya ulaya ikamalizwa ndani ya wiki nne!?
Utahitaji utuoneshe kwa uthibitisho zaidi ni kwa vipi RAForces haikuweza kutumia silaha zake 'kwa usahihi' kwa mkakati wa pamoja, la sivyo itabakia kuwa ni maneno (yako) matupu tu kutokana na hisia zako 'opinions'.
NB: Hata kama UKr ni/ilikuwa dhaifu dhidi ya Russia lkn huwezi kuoverlook support yote waliyopewa na Nato na washirika wake kuanzia silaha, utaalamu, mamluki, pesa, propaganda na vikwazo (vya kiuchumi) dhidi ya russia. Hii yote imeongeza uwezo wa UKr kwenye uwanja wa mapigano na kuundermine ule Russia. Isingelikuwa ni uwezo wa ziada wa jeshi la Urusi angakuwa asharudi nyuma (a different perspective) Ushajiuliza ingekuwaje kama Russia asingewekewa vikwazo na Ukr asingesaidiwa kwa hali na mali kutoka west!?

Kwa bahati nzuri au mbaya wanaolihofia jeshi la russia ni hao hao NATO and Co. Wao wanaijua vizuri Russia na ni wataalamu zaidi kwenye mampo ya military. Isingekuwa ni kuihofia russia unafkiri US na POL wangerushiana mpira wa kupeleka ndegevita UKr!? Najua utasema waliepusha WW3, suali; wakati US anapendekeza POL wapeleke Mig zao kwa zelensky hawakuona 'in the first place' kuwa kufanya hivyo kutaleta WW3!? na Poland alivyosema atazipeleka ndege hizo kwenye base ya US ili wao ndio wazipeleke UKr hawakujua kama kufanya hivyo kungepelekea direct confrontation ya US na RUS na hivyo kupelekea WWIII!?
Jeshi dhaifu (unalosema) haliwezi kuhofiwa namna hii tena na US na NATO!

Huna mamlaka ya kuchora mstari wa kuonesha kupi kutakuwa ushindi na kupi kutakuwa kushindwa kwa russia. Wewe ni nani mpaka utoe definition ya ushindi au defeat kwenye hii vita!? Unataka uweke malengo yako ambayo sio malengo ya Russia ili uje udai wameshindwa!? Ni bahati mbaya sana kama unasubiri dk90 ili utusomee scoreboard. Russia wenyewe wanajua kupi ni kushinda na kupi ni kushindwa.

  • Ni lini NATO ilikuwa divided na EU dhidi ya Russia!? Linapokuja swala la Vs Russia Nato na EU always wapo pamoja despite diffs zao. Labda utuoneshe lini NATO walikuwa tofauti na EU ktk kumkabili Russia.
  • WB, IMF, Russian CB, Bloomberg na wengine wahusuo uchumi (duniani) wataweza kutuelezea athari za kiuchumi kwa russia juu ya hii vita.
  • [emoji1787]US anahofia jeshi la kirusi alf wewe uko hapa unasema jeshi lenye uwezo kidogo juu ya jeshi la ukr halina sababu ya kuhofia, bro please!

Ni kwa nini ProNato mnapozungumzia jeshi la Urusi mnataka kuweka kando Nuclear!? Kwani hizo Nuke zilitengenezwa na mahakama za Urusi!? Ni kama kusema jeshi la marekani bila stealth technology ni dhaifu. Pure Nonsense! Jeshi la urusi ndio wametengeneza hizo nukes na wametengeneza ili zitumike. Hakuna namna unaweza kutenganisha nuclear za jeshi la urusi na jeshi la urusi. Jeshi la Urusi ni imara na miongoni mwa inachofanya liwe imara ni nuclear. Narudia tena kusema jeshi la urusi bila nyuklia ni dhaifu ni nonsense!

NATO hawakuamua 'tu' kutokuingilia. Hofu ndio imeinfluence maamuzi yao hayo. Hofu ya Jeshi la Urusi lenye Nuclear! Don't make it sound like they just chose NOT to intervene.

Undisputed Putin[emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
The UK has amended sanctions against Russian billionaire Oleg Tinkov and Roman Abramovich’s partner, Millhouse CEO Eugene Shvidler, lifting transport restrictions that threatened to detain the yachts and planes of the businessmen, an updated sanctions list shows.

Britain applied the restrictions against the two men on Thursday, freezing their UK-held assets and banning yachts, ships and aircraft owned, operated, controlled or chartered by the businessmen from entering ports, flying through the country’s airspace, or landing at its airports. These restrictions have now been lifted.
===
Kidogo kidogo tutaelewana. Taarifa kwa mujibu wa rt.
 
Vita ni gharama kubwa, bidha hauzi nje, deni la Urusi limekuwa kubwa(riba) masha ya askari wengi yamepotea.....
Vita ni gharama kubwa kwa muktadha upi? Tangu mashambulizi ya Mrusi yaanze Military logistics ya Mrusi sijaiona au kuisikia imekwama.

Bidhaa hauzi nje, Deni la Urusi limekuwa kubwa!
India ni nje, China ni nje. Hata hiyo gesi anaitoa ndani ya nchi yake na kuiuza nje ya nchi yake kupitia mabomba kama njia ya usafirishaji.

-99% ya chakula Russia inazalisha yenyewe nchini mwake kuanzia oil, gas na metal za aina zote anazalisha nchini mwake.

-40% kwenye matunda anategemea kutoka nje ya nchi. High prices kwa Russia ni vitu vya luxury n.k

Waliyomuwekea vikwazo ni EU,UK na US, Japan, SK n.k wala si dunia nzima.

Unachopswa kuelewa: Dunia ya sasa ni competent economies. Ukisusa wengine wanakula. Na ndiyo maana wanauchumi wengine wa US wanahofu kuwa huu mgogoro utamnufaisha China zaidi. Kwa urahisi wa tafsiri vikwazo havitodumu kwa muda mrefu especially kukiwa na competent government.

Russia itaumia ila haito collapse.

-Maisha ya askari wengi yamepotea hii takwimu umeitolea wapi?
 
Ina maana hujui kuwa moja ya vitu gharama ni waging a war ? Huko kwengine nisiseme kitu ila kuendesha vita ni gharama sana. Logistics, vifaa n.k

Kwa upande wa kukwama uchumi ngoja waje wataalamu..
 
Ww jamaa unajitia mjuaji lakini ni ziro.

Kwahiyo Ulaya pekee ndio kuna wanunuzi.

Asilimia 80 ya gesi ya Qtaar inauzwa barani Asia ni asilimia 20 tu ndio inauzwa Ulaya.
Hata nchi za magharibi zikiisusia gesi ya Urusi usitegemee itakosa wateja.
Kwa hiyo Urusi asipouza Gesi yake Ulaya ataenda kugombania soko la Asia na Qatar?
Unafikiri bei ya Gesi itakuaje kama supplier wawili wakubwa wote watakutana kwenye soko moja?
Kwa hali hiyo kwa nini Qatar asiongeze mauzo yake Ulaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…