Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Puttin hajakataza operation isiingiliwe na yeyote?
 
Joe kafuta kauli yake.
Kumuua koboko Huwa ni shughuli pevu
 
Kwa nini mrusi haipigi mihypersonic missile Poland
 
Captive Russian soldier: company captain Shestakov and Sergeant Nikitin took ammunition from me and threw the wounded
 
Kharkiv region, crossing # vsrf across the river. Seversky Donets, during its guidance, the deputy head of the engineering troops of the Western Military District, Colonel Nikolai Ovcharenko
 
Captured mobile Kravchenko Alexander Petrovich, born in 1983
 
mateka wa kirusi hawa dhoofu kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Captured mobile Kuznetsov Maxim Aleksandrovich, born in 1976
 
And here is the prisoner, squad leader Sosnitsky Igor Andreevich, born in 1967 . from Donetsk not a mobile at all, but a reservist, he was already in #roa before
 
Habari nzuri Sana hii kwa taifa la Mungu [emoji635]
 
Sasa kwa nini wewe mwenye data usimpinge kwa kutumia hizo takwimu na kujenga hoja!
JF ni sehemu ya watu waliostarabika na kutumia lugha ya matusi ni ishara ya mtu aliyeshindwa hoja.
hapo unajidhalilisha mwenyewe na kuonesha wewe ni low IQ.
Mods tunaomba apigwe ban huyu mtu ili arudi facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…