Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii makao makuu ya kikosi cha azov(mariupol).imepigwa na mabomu mpaka basi alafu unakuja kuambiwa mabomu ya Warusi yamekosa shabaha
 
Nyie kenya si muna miaka kumi kenya au alishabab hata elfu kumi hawafiki
 
Russia is a 'military (Nuclear) Superpower'. Unamdhoofishaje kwa kuprolong vita vya ukraine!? Kinachofanya Russia ahofiwe zaidi ni 'Nuclear arsenal' Ashinde asishinde kwenye hii vita bado hofu ya nuclear deterrence kutoka kwake ipo pale pale. Lakini pia Endapo russia akiemerge mshindi (which is more likely to happen) atakuwa stronger zaidi. Naona Kama lengo ni kuidhoofisha Russia basi Nato kasukuma kete sio! Watakuwa wameipoteza UKR lakn hasimu wao atakuwa ameimarika zaidi!

On the other hand wanasema usimlaumu mtu kwa maamuzi aliyochukua bila kuzingatia kwanza 'options' alizokuwa nazo kabla. Pengine mamuzi hayo ndio bora zaidi kwenye options zote alizokiwa nazo. Putin alikuwa na options tunaweza kusema tatu. 1. Aachane na swala la UKr (awaache waukraine wafanye watakavyo) 2. Atumie dipolomasia 3. Military intervention/operation. Pia angeweza kutumia 4. Economic sanctions dhidi ya UKr kumfosi 'accomply'.

Kila option hapo ina faida na athari zake na kila moja ina ugumu wake lakini 'in the end' lazima Putin achague ile ambayo itakuwa na matokeo chanya (efficient). Nikuulize, Ikiwa sasa hivi tu vita vinaendelea watu wanakufa inchi inaharibiwa na bado maongezi 'diplomacy' yanayoendelea hayajazaa matunda unafkiri Putin angeamua kutumia diplomacy in the first place ingekuwa 'effective'?

Unamlaumu putin kuivamia UKr kijeshi (bullying) ambapo ameua na kufanya uharibifu ili tu atimize malengo yake ya kuineutralize UKR alafu hauwalaumu west (NATO) Kwa kutaka kuprolong vita ambayo inasababisha mauaji na uharibifu ili tu watimize malengo yao ya kuidhoofisha urusi. Huoni hapo kuna technical hypocrisy kwenye hizo lawama zako (biasness)!?.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mzee umechimba vizuri juu ya hizo options ulizozitaja, nimeipenda jinsi ulivyoziwasilisha maoni yako!
 
Ngoja tuwaulize wakazi wa Mauripol wanaweza kuwa mashuhuda wazuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ukitaka kujua hizo taarifa huwa ni za kubumba angalia namna watoa taarifa wanavojificha [emoji847][emoji847][emoji847][emoji23]...

Taarifa zote za kizuzu utasikia "Official Says" WTF
 
Ukweli usemwe, ndani ya wiki 4 hizi kuchapo kimetembea, ni vile urusi hana media coverage kubwa kama west, Bbc, Cnn nk wanchukua sehemu ndogo ya ushindi wa ukraine, lakini wanaacha sehemu kubwa ya mafanikio ya urusi.

Ilifika wakati rais alilia hadharani na kusema "hii inaweza kua mara yangu ya mwisho kuniona" ahsante kwa nato kwa kuingiza mercenaries na silaha nyingi.

Pia pongezi kwa mbinu za kivita za Ukraine kujichanganya na raia, ndio maana wakapiga marufuku raia wote kuondoka, pia waliwatumia kama 'human shield'. Embu fikiria raia wangeondoka na wao kubaki peke yao wapambane

Nna uhakika 100% vita itaisha kwa makubaliano ya pande mbili. Baada ya vita kuisha watatuambia ukweli wa hasara pale Ukraine, tutaonyeshwa picha kamili.

NB dharau zitapungua, kuheshimiana kutarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…