Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️Biden says he is not walking back his comments on President Putin, was expressing moral outrage

He also added he is not concerned that his remarks may foster escalation
 
Warusi wa bongo tunagonga like tu
 
UAE yasema kuwa Russia ni mdau muhimu zaidi ktk kusaplai mafuta Duniani, anasaplai mapipa milioni 10 kwa kila siku, hakuna mzalishaji yeyote Duniani anayeweza kuchukua nafasi ya Russia...tusidanganyane!

Labda kama kuna mtu (nchi) anataka kuja kutuletea mapipa milioni 10 ya mafuta kila siku, lakini hatumuoni mtu (nchi) mwenye ubavu huo.

Wataalamu wanasema kadiri vikwazo vya wamagharibi dhidi ya Russia vikiendelea kuwepo, balaa kubwa la madhara ya upungufu wa nishati Duniani litaonekana hivi punde

=====

 
shida nikwamba munaongelea facts kwa watu wanaoendeshwa na mahaba
ahsante kwakutueleza mambo kwauelewa zaidi
ila pole kwakupoteza muda wako maana najua hutajibiwa jibu utasutwa tuu
hem acha tuone pengine wamebadilika pengine
 
there will be no meeting
VIVA PUT IN
 
Hizo sijui mnazoita Ruble za kununulia hayo mafuta watazitoa wapi?
labda wapeleke gold maana kununua kupitia normal money markets ni sawa na kureverse sanctions zao wnyw but pia in case ikaenda km hvyo russia inavyotk putin atadeal vp na surplus ya ruble?? wenye surplus ya dollar wanainvest kwe US financial markets ambaz ni kubwa kuweza kuhandle kias kikubwa cha dollars,what about rubles? sisemi kuwa haiwezekan but nawaza how? mwenye idea alete shule hapa
 
VIVA PUT IN
walete RUBO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…