warusi wa bongo ni viazi kama mzee wao .Nipo,Ila battlefield pamepoa Sana,..mnakwama wapi Warusi,?
Tech ipi ambayo UCHINA hana?Sahihisha SWIFT wamefungiwa this year. Pia sio benki zao zote zimefungiwa hapo kwenye SWIFT. Benki zinazopokea miamala ya gesi na mafuta kutoka ulaya hazijafungiwa. Halafu ufaransa imegoma kununua kwa rubble maana mikataba iliyopo inasema italipwa kwa dollar za kimarekani /Great briain pound or Euro. Rudi kasome taarifa zako kwanza. Na pia hiyo system ya kichina haiwezi kupitisha dollar. Inapitisha Renminbi ya kichina tu na hiyo rubble ya kirusi. Yeyote anayefanya transcaction ya dollar lazima utumie SWIFT. China ameshaonywa na marekani kuhusu kumsaidia huyo Mrusi. Uwezo wa kumsaidia anao ila kukitokea vita ya kiuchumi kati ya marekani na china anayeumia ni mchina maana kuna baadhi ya technologia bado hana na pia watu wote wanaofanya nae biashara wanatumia dolar na sio fedha ya kichina.
Unataka Rubel? Karatasi ya chooni imekwisha ? Pole.tunataka RUBO aache upuuzi huyu farasi only RUBOOK
Unahisi hili lina2ezekana kweliMaana yake wataexchange us dollar ambazo ni reserve ya Russia Kwenda Rubles ndio transaction zitafanyika!Hii itaboost value ya ruble Ili kufidia gap ya sanctions
Hii siyo story uwe unatumia akiliMji wa Mariupol tayari umeshaangukia mikononi mwa mwa majeshi ya Russia, asema meya wa mji huo.
View attachment 2167589
View attachment 2167588
chanzo ni CNN.Mji wa Mariupol tayari umeshaangukia mikononi mwa mwa majeshi ya Russia, asema meya wa mji huo.
View attachment 2167589
View attachment 2167588
[emoji848][emoji848][emoji848]Eneo lenyeww hili hapa
View attachment 2167337
ngoja waje wale wazee wa PROPAGANDAIn Barcelona, for the fourth day in a row, transport workers block the motorway, protesting against the rise in fuel prices.
About 70 people took part in today's action, reports 20minutos.
After the introduction of anti-Russian sanctions, prices for gasoline and food began to rise. People all over Europe go to rallies.
Galip SV Liwagu View attachment 2167394
pole to you toooUnataka Rubel? Karatasi ya chooni imekwisha ? Pole.
NATO imeundwa kwaajili ya RUSSIAwarusi wa bongo ni viazi kama mzee wao .
Utasikia yakisema NATO na US wanamwogopa Putin.
Wakati huo kichaa wao ameivamia Ukraine akiishutumu inataka kujiunga NATO hivyo inahatarisha usalama wake .
Tumesha yazoea humu kelele tu mengi ni akiri za Dr Shika .
Kula kabisa na cha mchana maana wewe ndo utachoka kusubiriPutin atachoka..ni muda tu.
chief umeamka toka ndotoni ukakimbilia humu au umecomment ukiwa unajielewa ila unajifyatua tu akili?Yajayo Yana furahisha kinacho enda kumpata Putin itakua n funzo kwa dunia
kama hili la RUBO linaenda kufanikiwa niwazi kwamba mwanzo wa mwisho wa DOLA utakua umekaribia zaidiruble mtafanyia nn mkuu? china turkey na india wanapokea ila wana limits, putin ana jambo lake au ni kuwakomesha tu wazungu? au ruble inaleta mapinduzi kwe global financial systems, mwaga mambo hapa mkuu
hakika watatumia KUNI huu MWAKA wao si JEURIKama hawana RUBLE, mwaka huu wataota moto wa 'kuni' ktk kupasha nyumba zao joto kama wafanyavyo Mbeya vijijini
sio kwa AKHERA ?Yajayo Yana furahisha kinacho enda kumpata Putin itakua n funzo kwa dunia
Wale n madona katri waje huku kipindi cha winter ( dollar 10,000)per family (5pax kwa mfano) kwa huku watafanya kufuru.hakika watatumia KUNI huu MWAKA wao si JEURI
RUSSIA sio ZIMBABWE, bado. Lakini inajitahidi, inaelekea tayari.NATO imeundwa kwaajili ya RUSSIA
RUSSIA sio ZIMBABWE