Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,510
- 4,431
Ndani ya mioyo yenu mnaumia sana kuona ulaya ikiteketea huku mlengwa anadunda.Sasa ni zamu ya ulaya kuchangamka kwa maandamano yasiyo na mwisho kutokana na Mass Unemployment.RUSSIA sio ZIMBABWE, bado. Lakini inajitahidi, inaelekea tayari.
Wanajua shughuli ya Red army wakiingiza pua kikosi hicho cha reserve tunakirudisha nyuma halafu tunaingiza red army ili pachangamke.Kama ni mataka taka .....Sasa mbona hamsogezi pua zenu....[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... ndani ya ukrain .kwanni mnajificha nyuma ya ukrain.....tokezeni wazi wazi kama tunavofanya sisi tunajigongea tunavotaka ....wacha maneno ya kwenye kanga ....jitokezeni ulingoni tuangalie nanai mmbabe ...tuna taka vitendo na sio maneno
Wasije huku wataturudisha kwenye enzi za kitumwa ....tutaanza kuwa lamba miguu....wapuuzi hao wakae huko huko ....Wale n madona katri waje huku kipindi cha winter ( dollar 10,000)per family (5pax kwa mfano) kwa huku watafanya kufuru.
Season ikiisha wanarudi kwao na sisi angalau tunufaike na huu mtafaruku wanagawana mapande wao tuu.
M nmemaanisha waje kutalii sama time warudi kwao kuendeleza uchumi wao.Wasije huku wataturudisha kwenye enzi za kitumwa ....tutaanza kuwa lamba miguu....wapuuzi hao wakae huko huko ....
Endelea kuona aibu, ukimaliza utaniambia.Hiki ulichokiandika umejisoma mzee wangu maana aibu naona mimi
Kwahiyo hapa mkuu hii siyo propaganda,!.Mji wa Mariupol tayari umeshaangukia mikononi mwa mwa majeshi ya Russia, asema meya wa mji huo.
View attachment 2167589
View attachment 2167588
Mkuu Mimi sina upande Ila Russia ground battles hayuko vizuri huo ndio ukweli..now anafanyika counter attack na ana retreat.Wanajua shughuli ya Red army wakiingiza pua kikosi hicho cha reserve tunakirudisha nyuma halafu tunaingiza red army ili pachangamke.
USA na NATO mpaka sasa wanajiuliza hivi hili jeshi la Urusi ni la akiba kweli mbona shuguli yao nzito
Hao wanaonunua ges urusi wanalipaje? Ikiwa SWIFT imefungwa? Kumbuka mpaka leo hii, ulaya wanatumia ges, je wanatuma bure?Bado nitakuelewesha tu. Hayo mabenki 7 yaliyo ondolewa kwenye mfumo wa SWIFT ndio yale mabenki makubwa yanayodili na miamala mikubwa na volume ya biashara inayofanya ni asilimia 75 ya biashara yote ya kimataifa inayoihusu Russia.
Hayo mabenki machache ambayo bado hayajakumbwa na hii nyundo [emoji375] kama vile VEB na Bennink Banks ni yale ambayo yanafanya miamala midogo sana na bado yameachwa kwa muda tu ili ziweze kusaidia wageni kama wanafunzi wanaosoma Russia waweze kupata misaada ya kifedha kutoka kwa ndugu zao walio nje ila muda sio mrefu na zenyewe zitaondolewa kwenye SWIFT ili sanctions ziwe completely crippling.
Mpaka sasa makampuni mawili ya nchini Russia yanayotengeneza vifaru kwa ajili ya jeshi Uralzavod Corporation na Chelyabinsk Tractor Plant zimeshasitisha uzalishaji kutokana na kushindwa kuagiza vipuri kutoka nje na hivyo kuchangia operations nyingi za kivita Ukraine kusitishwa.
Kuhusu mali za Russia, ni kwamba hakuna tena mali zao zilizoko nje ambazo ziko salama. Nchini Uingereza mali za Oligarchs 7 akiwemo Roman Abramovich tayari zimekwisha kuwa frozen na hata za Putin mwenyewe na Sergey Lavrov na wengineo.
Naona unajifurahisha kwa eti freezing of the Russian assets in the US still awaits the congressional approval; sasa hata kwa akili zako unafikiri kwamba hizo assets zinaweza kuwa spared, hili hata sihitaji kuliongelea because the answer is straight forward.
Russia really has called the music [emoji445] let him play to its tunes.
Kivipi wakati mnadai mara hajaweza kuikamata nchi mara kashindwa kuimakata sijui miji gani lakini baadae tena mnaleta taarifa mji umekombolewa hebu mzinduke ndugu zangu ukraine kwa propaganda wanashinda vita lakini kiuhalisia hali inaonekana mbaya sana kwaoUrusi kanyanganywa mji mwingine tena
Mkuu acha kulialia...chanzo ni CNN.
Hapa hawapigi propaganda .
Ila wakileta habar isiyokupendeza unaanza "Western propaganda"
Hahaha ndo maana nawaita nyinyi ni vichaa. Habari ikiletwa na BBC, CNN ikiwa nzuri ukaifurahia basi unaipost haraka huku.Mkuu acha kulialia...